Dr slaa ataja matatizo matatu yanayokabili tanzania

Ni Ngumu sana Kuelewa Falsafa ya Dr. Slaa na kutokana na uwezo wako ulivyo mdogo kama wa Kuku It can take even your life understand the philosophy behind Dr. Slaa Claim

Matatizo ya Watanzania

1. Ufisadi 2. Ufisadi 3. Ufisadi

Ambacho ningeweza kuhsisi kutokana na elimu ya Docta ni kutumia ile ddoctrine ya Trinity.

Naona kama vinafanana! Vinginevyo hapo hamna kitu.
 
Mkuu Uelewa wako ni Mdogo sana tena sana kiwango cha sisimizi na unawaabisha Majembe ya CCM Mtandaoni
 
Sijui nani haelewi maana hata wewe sijaona hicho ulichokielewa kwenye hiyo kauli ya docta.

Nafikiri alikuwa natumia falsafa ya utatu mtakatifu (Trinity) yale mambo yetu yale ya mungu baba, roho na mwana lakini mungu ni mmoja au?!

Nimetumia mfano tu ili wewe mwenye uelewa 'mkubwa' ufahamu.
 
Mwaga somo la second to none mkuu, mimi sijui. Ila najua kuwa 1+1+1=3 sio moja!

Chifu, kwa maana halisi, Slaa alimaanisha kwamba, tatizo kubwa linaikabili Tanzania katika kupambana na umaskini ni UFISADI. Hiyo ndiyo 'literal meaning' ya maneno ya Slaa.
 
Mkuu Bocho, hivi wewe unatarajia usome shule za kata bila kufuata mitaala inayo eleweka, utumie viroba badala ya chai, ubwiye unga badala ya chakula kisha uelewe philosophy ya Dr. Slaa ? Ukimuelewa itabidi tuingize kwenye record ya maajabu ya dunia.
 
Sijui nani haelewi maana hata wewe sijaona hicho ulichokielewa kwenye hiyo kauli ya docta.

Nafikiri alikuwa natumia falsafa ya utatu mtakatifu (Trinity) yale mambo yetu yale ya mungu baba, roho na mwana lakini mungu ni mmoja au?!

Nimetumia mfano tu ili wewe mwenye uelewa 'mkubwa' ufahamu.

Kumbe wewe ni Janga la Udini mi nilifikiri najadiliana na Mtu Timamu Kumbe Mdini Fulani. Usipoteze Muda wangu ambao wengi wanaulipia
 
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?

Unatakiwa kufikiri zaidi ya unachokijua. Na huo ndio msingi wa falsafa ya uelewa wa mambo. Dr. Slaa yupo sahihi. Jitahidi kuondoa uvivu wa kufikiri au kufikirishwa ili ujenge upeo mpana wa uchambuzi na utambuzi wa mambo.
 
yeye mwenyewe ni tatizo na Phd yake fake
Ni fake kivipi? Ebu fafanua. Mtu akisema ufisadi, ufisadi, ufisadi maana yake ufisadi ndiyo unaoongoza. Huhitaji akili kubwa kujua hilo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unatakiwa kufikiri zaidi ya unachokijua. Na huo ndio msingi wa falsafa ya uelewa wa mambo. Dr. Slaa yupo sahihi. Jitahidi kuondoa uvivu wa kufikiri au kufikirishwa ili ujenge upeo mpana wa uchambuzi na utambuzi wa mambo.

Watu wengine hawafundishiki. Hata kama waliwahi kumaliza k4 walikaririshwa jinsi ya kufanya mtihani. Kuchambua jambo siyo saizi ya kada hiyo ya elimu ndiyo maana issue ndogo kama ya Dr.slaa anashindwa kusoma between the lines na kujua alichomaanisha. Usiridhike na marks za kupewa. Karudie F4.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
yeye mwenyewe ni tatizo na Phd yake fake

Inawezekana PhD yake ikawa feki! Ila wewe unaweza ukawa umekomaa, manake Kutoka "Piriton" hadi "PILITONI" utakuwa bab kubwa. Kama vile ulisomea Harvard kuanzia chekechea hadi PhD.
 
Chifu, kwa maana halisi, Slaa alimaanisha kwamba, tatizo kubwa linaikabili Tanzania katika kupambana na umaskini ni UFISADI. Hiyo ndiyo 'literal meaning' ya maneno ya Slaa.

Hiyo tatu imekujaje bhana? Au ametumia nadharia ya trinity?
 
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?

Hujaona kimakosa...... ni sahihi kabisa mkuu. Na ukienda kesho kwa Edward Lowassa ukamuuliza swali hili; Ni vipaumbele gani vi3 vyaweza kuwa vya taifa hili iwapo atakuwa Rais wa nchi?.....Jibu lililo dhahiri atakalokupa ni;
  1. ELIMU
  2. ELIMU
  3. ELIMU
Vipi mkuu atakuwa amekosea hapo au au wewe utakuwa umeangalia au kusikia vibaya?

Mwisho UFISADI ndiye baba wa vijisababu vyote vya matatizo yetu km taifa mpaka hapa tulipo......kama ambavyo ELIMU kuwa ndiyo ROAD MAP ya maendeleo yetu katika nyanja zote!!
 
yeye mwenyewe ni tatizo na Phd yake fake

Kumbuka Sekali yetu nayo imeruhusu kujiunga vyuo vikuu Darasa la saba.
Mwezi wa nane wanaanza rasmi masomo.
Sekali makini sikivu kwa wananchi wake lazima iweke uhuru wa kila mmoja kupata elimu.
 
Mkuu. wangu, kama hujamuelewa Slaa basi pole sana. Nchi hii ina kila kitu ndugu yangu. Tatizo ni wizi uliokithiri. Kama tutapata kiongozi atakaepiga vita wizi kwa miezi sita tu, kisha tutashuhudia mabadiriko makubwa sana. Hakuna kitu kingine kikubwa kinachozorotesha uchumi wetu zaidi ya wizi au kama unavyojulikana kwa jina jipya, ufisadi. Mark my words.
Mkuu unadhani watakuelewa,ufisadi kwao ni dini,kwa hiyo hapo unaingilia imani ya watu....hao watetezi wananufaika na huo ufisadi sio rahisi kukuelewa,wenyewe hawajui umaskin wa Nchi hii unatokana na nini mbaya zaidi tukiwaambia unatokana na nini wanakuambia una phd fake,ya boss wao ndio ya ukweli kila kukicha kwenye nchi za watu kushangaa maendeleo ya wenzetu.
 
Unatakiwa kufikiri zaidi ya unachokijua. Na huo ndio msingi wa falsafa ya uelewa wa mambo. Dr. Slaa yupo sahihi. Jitahidi kuondoa uvivu wa kufikiri au kufikirishwa ili ujenge upeo mpana wa uchambuzi na utambuzi wa mambo.

Mfano tukiandika 222 ni tarakimu / namba tatu au moja?
 
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?

Rais Paul Kagame alipoulizwa vipaumbele vyake kama Rais alisema hivi "Kipaumbele namba 1 ni Elimu, Kipaumbele namba 2 ni Elimu na Kipaumbele namba 3 ni Elimu).

Inaelekea wewe ni mgumu sana kuelewa falsafa ama hukuipitia kabisa shuleni au hata kwenye IQ yako mungu alisahau kukuwekea ki folder cha kutambua falsafa na maneno ya kawaida.
 
Ambacho ningeweza kuhsisi kutokana na elimu ya Docta ni kutumia ile ddoctrine ya Trinity.

Naona kama vinafanana! Vinginevyo hapo hamna kitu.

Umesha anza kuchomeka udini we mpumbavu.
 
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?

unashangaa nini hapo, huo ndio ujinga wenu, yaani hapo unachoshanga ni kuona kwamba, UFISADI,UFISADI na UFISADI ni sawasawa na moja badala ya tatu. mbona ushangai unapoona, mungubaba,mungumwana na roho mtakatifu ni sawasawa na moja badala ya tatu
 
Back
Top Bottom