Wizzard Wweed
Senior Member
- Oct 19, 2012
- 106
- 17
ladbda yale ya DHAIFU anayofanyaga pale JANGWANI Ya kupoteza mawasiliano.:majani7:kwani kikwete huwa anafanya manjonjo yapi? hivi kwenye siasa kuna manjonjo?.
*Dr. Slaa anafanya kweli hana manjonjo wala kulemba ndo maana alikuacha kwenye mataa. mia
CHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.
Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.
- Pilau
- hadija Kopa
- John komba
- Fulana
- Khanga
- lusinde
7. Mlugo