Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution


Kafunga kanisani
 
Whatever you say,time will tell.Just to remind you,mdee,lema na mnyika sio wanasiasa wa kawaida,fatilia kura walizopata 2010 dhidi ya wapinzani wao na alizopata zitto dhidi ya mpinzani wake hadi kakimbia jimbo halafu urudi tena!!!!
Sasa mkuu unaleta ubishi wa kijinga kabisa maana kushinda kwa kura nyingi wakati hawakushinda wao haidhihirishi kitu. Kama Lema angeshindana na Zitto jimbo moja ungesema haya, hata hivyo kura sio ushahidi wa kiongozi bora. Hata JK amewahi kushinda kura nyingi kuliko kiongozi yeyote alotangulia ktk uchaguzi wa demokrasia 2005, pia kashinda 2010 haina maana ni kiongozi bora kuliko Dr.Slaa aloshindwa.
 
If he can't discuss the constitution in the parliament, how can he discuss that in us?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…