Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

Dr Silaa w'r proud of u we know thngs mgth b changed very soon
 
Hana hata mvuto wa ki rais, slaa amekaa km muimbaji wa msondo ngoma ngoma ya ukae
 
Dr.Slaa ni mchonganishi katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inawausu vipi wamarekani kwenda kwenye maredio na nini, bora ata angesema anakutana na watanzania waishio huko.

Na hapo utakuta kikubwa ni serikari tatu na muungano yale yale ya kutugawa na kuchochea utengani.
 
Haisaidii kitu hawa Wamarekani wamemchora tu, Governor sio member wa bunge (Legislature) ni exactuive level ambaye hata siku moja hawezi kwenda nje ya maslahi ya nchi yake. Hili swala la katiba limekula kwetu, UKAWA sio kazi yao tena ni swala la wananchi kuikataa au kuikubali.. It's too late kwao maana anasikilizwa lakini hana ushahidi wa ku back up.

Akija mtu wa CCM atawaonyesha akidi japo ya uongo, wataonyeshwa namba za mapendekezo na mambo yalopitishwa japo kwa kupikwa vile vile lakini UKAWA hawana namba hizo maana walitoka bungeni kwa sababu ya Muungano na serikali 3. Jamani serikali 3 za JUMUIYA kama ilivyopendekezwa hakuna mwananchi hata mmoja anaitaka.

Hatuwezi kuunda Jumuiya nyingine ndani ya Jumuiya ya EAC na kwa kigezo kipi basi ikiwa hii ya EAC yenyewe itatushinda na tunaziona tofauti zetu na Kenya, Uganda na Rwanda. halafu tutoke katika Muungano huu kuunda kile kilichotushinda? kwa maridhiano gani basi! sii ndio yale yale ya kuruka Mkojo ukakanyaga kinyesi..

Kama rasimu ingependekeza serikali 3 za Shirikisho, (United Republics of Tanzania) na kukubali gharama zake which is obvious maana mifano mnayo nyie mnao ishi Marekani jinsi serikali zilivyo kubwa. Pengine ingekubalika na kuwezekana lakini hii ya kuunda JUMUIYA hata kidogo sio pendekezo la wananchi bali wanasiasa kuitaka Tanganyika huru kwa sababu ya kundi dogo la watu wanaopinga Mapinduzi na Muungano. Chadema walipoteza mwelekeo na hawatakuwa sawa tena..
 
huwa unapenda kubaki ktk upumbavu..unaanalyse ujinga,kwa logic ya kijinga na hila tena na tena.Sasa hivi nadhani umebaki kujidanganya zaidi.huna tena dira ktk brain yako.
 
huwa unapenda kubaki ktk upumbavu..unaanalyse ujinga,kwa logic ya kijinga na hila tena na tena.Sasa hivi nadhani umebaki kujidanganya zaidi.huna tena dira ktk brain yako.
Asante mkuu wewe mwenye dira sijui unaelekea wapi...Ufipa?..
 
Asante mkuu wewe mwenye dira sijui unaelekea wapi...Ufipa?..
sielekei ufipa mara nyingi ,ila nafanya yaliyo ktk fikra km za ufipa.Wewe unaelekea wapi ktk chamber za dili za kufanya kazi za wanaccm,
 
haa: umeamua kuwa too local kuliko wao eh?
 
Ahahaha eee bana wee unanijua vizuri sana basi leo nitakutembelea usiku halafu yanayofuata usihadithie watu siri yetu..

mkuu mkandara itikadi flani zinakufanya uukatae ukweli ingawaje moyoni unaujua ukweli...zitto used to be our hero lakini kaharibu mwenyewe...get used to that
 
mkuu mkandara itikadi flani zinakufanya uukatae ukweli ingawaje moyoni unaujua ukweli...zitto used to be our hero lakini kaharibu mwenyewe...get used to that
Mnachokosea ni kwamba Zitto atabakia kuwa Zitto na umaarufu wote huu mmempa nyie kwenye sahani la fedha. Kama Asingefukuzwa Zitto ni mtu wa kawaida kabisa kama Lema, Mdee au Mnyika lakini mlitaka kumshusha ili wengine wapande kabla ya uchaguzi kumbe imekula kwenu..

Sasa mnahaha ovyo wakati maamuzi ni yenu wenyewe kumfukuza ilihali mkihofia...Haya maneno yote ya nini humu JF kama hamtaharuki? It's that fear you have inanusumbua kwa sababu najua wakosa ni nyie. Kisha mnajifaragua kwamba hamuogopi kitu! Aaauuuuu!!!!
 

Whatever you say,time will tell.Just to remind you,mdee,lema na mnyika sio wanasiasa wa kawaida,fatilia kura walizopata 2010 dhidi ya wapinzani wao na alizopata zitto dhidi ya mpinzani wake hadi kakimbia jimbo halafu urudi tena!!!!
 
Whatever you say,time will tell.Just to remind you,mdee,lema na mnyika sio wanasiasa wa kawaida,fatilia kura walizopata 2010 dhidi ya wapinzani wao na alizopata zitto dhidi ya mpinzani wake hadi kakimbia jimbo halafu urudi tena!!!!

Umenena la maana kuhusu kura mkuu
 
Nina mshangao kidogo

Naombeni mnisaidie wadau ziliko thread inayomuhusu Dr Akihojiwa kwenye Talk show huko marekani

Pamoja na speech yake aiyoitoa jana chuoni marekani

Manake Chadema Diaspora alipost hizo topic lakini ghafla zinapotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…