GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Think Twice kama lilivyo jina lako unaishi dunia gani? Huo muda unatosha tena saana. Usikatishe watu tamaa, kama tumedhamilia inawezekana.
Tutoe taadhari kuwa hatukwenda kwenye uchaguzi mpya 2015, bila katiba mpya, huo uwe mkakati wa Watanzania wote!!!!!!!!!!!!!
Wewe unajiweka wapi unaonekana kama haikuhusu vile?
hapa ni ni kuelimishana na kutetea maslahi ya taifa letu acha mambo ya ubinafsi na kuongelee mtu
kwa ubongo huo hata ufikiri mara saba hata mara sabini hutafanikiwa. lakini kwa watu makini wanao ona mbele katiba ni swala miaka hata miwili. Zanzibar wamechukua muda gani? Umeona FFU na mabomu yao wanalinda masanduku ya kura zanzibar? . Shida ni hao wanaojua hawakubaliki lkn wanataka washinde kwa kishindo kwa kutumia TUME YAO, ASKARI WAO, MABOmu YA MACHOZI, WAKURUGENZI walio wateua wao kusimamia uchaguzi.
failure of thinking,
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais
Uzinifu, Ukabila na Udini vinaye yeye JK-Mteule wa NEC
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais
Unayasema hayo kwa kuropoka au una data? Katiba ya Tanzania tuliyo nayo sasa ilichukua muda gani kuiandika? Katiba ya Tanganyika ilichukua muda gani? For your information the draft and its indorsement took about 4 months. Usizungumze kwa hisia. Kenya ilichukua muda mrefu kwa vile Mwai Kibaki baada ya kuingia madarakani alikuwa hataki kwa vile ingempunguzia mamlaka, lakini haikuwa lazima kuchukua muda mrefu kama ilivyochukua.
Yeyote mwenye nia njema, hata kama ni wa CCM atataka katiba iliyo nzuri. Ukitaka kujua ubaya wa kung'ang'ania katiba mbaya kamwulize Kaunda. Aligoma kubadilisha alipokuwa madarakani, Chiluba alipoingia madarakani alitumia katiba hiyo hiyo kumwaadibisha Kaunda, akawekwa kizuizini. CCM kwa kuwa siku zao zinaelekea ukingoni ni vema wakafurahia mabadiliko ya katiba ili kuwa na uhakika kuwa kiongozi atakayeingia madarakani siku zijazo hatumii katiba hii mbaya kulipiza kisasi.
Waepushe viongozi wake waache Uzinifu, waache ukabila na waache udini ambao wako nao hivi sasa
Kweli historia ilikupita kushoto, na nina wasiwasi wewe kama ni mtanzania aisee. Katika ya Tanganyika ilikuwa ni copy and paste ya katiba ya uingereza, unalijua hilo? Hivi suala la ku-copy and paste unategemea lichukue muda gani? hata wiki moja ingetosha. Sie tunacho taka ni kuandika katiba upya, au wewe una taka copy and paste ?. Tanzania bila CCM haiwezekani mkuu, mnajidanganya tu humu JF , sijui wapiganaji, sijui wadai mabadiliko, sijui nguvu ya umma , sijui tupange mikakati, hayo yote watu tunawatizama tu. Nchi hii hamuipati ng'o !
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais
May you change your name please, because it doesn't relate with your opinions?Waepushe viongozi wake waache Uzinifu, waache ukabila na waache udini ambao wako nao hivi sasa
aaah Dr.bana hivi tamko lako utatoa lini mi niko standbye muda wote nasubiria tu utoe tamko ....maana kuna jizi limeiba kura na inafahamika hivyo
alie jichangua ndiyo chaguo la Mungu hapo ninge kuelewa, je misikitini walikuwa wanahubili mavi, unasema wewe ni mmoja wa kanisa ambalo walihubiliwa udini muliambiwa nini....Aliyechaguliwa na wanaadamu kuwaongoza ndiye aliye chaguliwa na Mungu. Uzinifu ( Slaa ameoa au anazini ?), Udini ( walikuwa wanahubiri udini makanisani na mie ni mmoja wapo wa kanisa letu lilifanya hivyo tukakataa), ukabila ( Viti maalum na viongozi wote wa CHADEMA ni kutoka kanda ya kaskazini)
Waepushe viongozi wake waache Uzinifu, waache ukabila na waache udini ambao wako nao hivi sasa
Kwa kuzoea wale wasanii wa kwenu, umejenga fikra kuwa kila mtu ni msanii? Aibu sana.Mwongo huyo alikuwa anajikosha tu. Endelea na shughuli zako utapoteza muda wako bure kwa kusubiri kitu ambacho hakipo. Wote hao ni wasanii tu.