Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
I DO NOT TRUST THIS SOURCe:::: global publisher??
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais

Wewe ndiso hifikiri na hujui duniani mchakato wa katiba unachukua muda gani? Mfano Kenya imechukua muda gani kuwa na katiba mpya? jibu chini ya kiaka mitano.
Kweli historia ilikupita kushoto, na nina wasiwasi wewe kama ni mtanzania aisee. Katika ya Tanganyika ilikuwa ni copy and paste ya katiba ya uingereza, unalijua hilo? Hivi suala la ku-copy and paste unategemea lichukue muda gani? hata wiki moja ingetosha. Sie tunacho taka ni kuandika katiba upya, au wewe una taka copy and paste ?. Tanzania bila CCM haiwezekani mkuu, mnajidanganya tu humu JF , sijui wapiganaji, sijui wadai mabadiliko, sijui nguvu ya umma , sijui tupange mikakati, hayo yote watu tunawatizama tu. Nchi hii hamuipati ng'o !
Acha uwongo. Wakenya walifanikiwa kupata katiba mpya katika kipindi cha miaka isiyofikia mitatu. Inawezekana. Timiza wajibu wako na acha uwongo.Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais
Waepushe viongozi wake waache Uzinifu, waache ukabila na waache udini ambao wako nao hivi sasa