Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
kueni makini sana kwenye huu uzi wakuu. Wengi watakula ban kupitia uzi huu. Nikiangalia kwa haraka haraka tayari naona kuna watu washakula ban. Chukueni tahadhari.
 
Chadema mnsikitisha sana, kulilia kijaza mikutano halafu mwisho wa siku mnatia aibu kwa kukosa kura, watu wanakuja kuwashangaeni jinsi mnavyoongea uongo, na kucheka, bora hata zecomedy wanajaza halafu mwisho wa siku wanapiga hela..poleni kwa aibu, babu kachuja kakosa singo ya kutoka nayo, aliona ile ya kagame itamtoa kumbe anazidi kujitia aibu
 
na jana hapa tanga palidoda ivyoivyo japo alijishauwa kutua na ka helcopta loo akafie uko
 
Jana alikuwapo tanga kidogo tangamano ilijaa ila kilichonirhangaza ni yeye kuzomewa kila mara. Kumbe watu wakijaa kwenye mikutano yake wengine wanaenda kumchora.
 
kueni makini sana kwenye huu uzi wakuu. Wengi watakula ban kupitia uzi huu. Nikiangalia kwa haraka haraka tayari naona kuna watu washakula ban. Chukueni tahadhari.

Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!
 
Jana alikuwapo tanga kidogo tangamano ilijaa ila kilichonirhangaza ni yeye kuzomewa kila mara. Kumbe watu wakijaa kwenye mikutano yake wengine wanaenda kumchora.

"Kilichonirhangaza"? Really? Ulitaka kudanganya nini hapo hadi ukatia aibu kiasi hicho?
 
Jana alikuwapo tanga kidogo tangamano ilijaa ila kilichonirhangaza ni yeye kuzomewa kila mara. Kumbe watu wakijaa kwenye mikutano yake wengine wanaenda kumchora.

Mkuu, Dr Slaa tangu atoe kauli zake za ajabu ajabu ikiwemo ya kumkosoa rais kuhusu suala la kagame, kutukashfu wananchi na viongozi wetu wa kiimani kuwa sisi tunao ombea taifa letu amani ni wanafiki na kauli zingine za ajabu ajabu, Watanzania wametokea kumchukia kweli huyu babu Slaa.
 
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
Wakataka na kauli, iwafae maishani

Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli
Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali
Roho naona yachinjwa, kifo kimenikabili
Kama mnataka mali mtaipata shambani.

maswali;
1. Taja vina katika ubeti wa kwanza na wa pili
2. Watoto waliambiwa watapata mali wapi?
3. Kwa nini mgonjwa alitetemeka mwili?
 
Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!

mkuu unafundisha watu kufanya nini mitandaoni mkuu, weka wazi zaidi
 
na jana hapa tanga palidoda japo alijishauwa kushuka na kandege alafu kanamsubiria amalize aondoke nayo tena kweli mwisho wake sasa naisi slaa anajifananisha na obama duu mana izo mbwembwe alafu bora mrudie kule mnakokubalika marakwa mara huku kwengine ni aibu tuu mnapata hamtakiwi kwa kweli huwezi kujua kama alikuepo tanga jana hakuna aliejishuhulisha loo shame cdm
 
Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!
Afisa habari wa vijana wa ....(kama anavyojiita) mwenyewe alishindwa kutumia mtandao kistaarabu akaambulia ban. Sasa inaonekana timu yao ina hasira na inataka kuwasababishia ban watu wengi kadri watakavyoweza. Sasa naona kuna vijana wanaingia kwenye mtego one after another.Tehe! tehe! tehe!
 
Leta picha mkuu si upo field ama?Haya mambo ya Kagame yanatoka wapi?Ni lini Dr.Slaa alikashifu wananchi?

Watu wametokea kumchukia?Dude,Please just speak for yourself!

Weka picha kuhusu ulichosema kwenye thread hii kuwa mkutano wa Slaa umedorora.Weka picha kabla sisi hatujaweka baada ya mkutano.Si upo field ama??
 
Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!

Mbona wewe ulibaniwa kuwa mwenyekiti wa BAVICHA?! vipi mahusiano yako na Heche?, Mtela angalau aligombea ubunge kupitia CHADEMA na alijipatia kura 32000 ambazo kwa sasa ni mtaji wa CHADEMA kwani wanapokea kisa cha takribani mil 4 kutokea Mbozi kwa jitihada za kijana Mtela.

Sasa wewe mwenzetu ni nani CHADEMA, mpaka sasa umeipa nini CHADEMA, na kutokuwepo kwako ndani ya CHADEMA kutaleta madhara gani?, dude, you're valueless!
 
Kutenda nini kijana wewe? Mwenyewe unategemea posho kutoka kwa slaa usiku upate ingia halafu unajitapa mtu wa kutenda. Nakuonea huruma ulivyokuwa umeshika tama na mfulana wako wa buku siku ile slaa akihutubia Bavicha. Unaonekana mkuu umepigika kiasi hata haukujua jioni ungekula nini siku ile.
 
wewe ni mwigulu. full stop.
 
Kweli kabisa mkuu, Dr Slaa hana madhara tena kwa sasa, yani amekuwa butu mpaka huruma, sijui ataishi vipi maana nje ya siasa he's nothing. Sijui atarudi tena kanisani?
 
Mkuu usijali,Ban itarudi kwao.Tuliwafunza sisi kutumia mitandao.

Naomba makamanda na wale wasio na vyama tuendelee kuheshimu sheria za JF.Tuwaache washamba wajifunze.Tulinde sheria za JF na MODS tendeni haki.

HAMY-D tunaomba utuletee picha,la sivyo MODS chukueni hatua kwa uongo aliopost mtu huyu.Hiki ndicho kipimo cha weledi wenu katika kusimamia sheria na kanuni tulizojiwekea
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…