Dr Slaa anatakiwa Mafinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa anatakiwa Mafinga

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 3, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimepata sms kutoka kwa rafiki yangu aliye Mafinga kuulizia yuko wapi Dr Slaa? Kwa maana Wanamafinga wanamngoja na kuongeza kusema ana kura nyingi sana pale.

  Sikuweza kujibu yuko wapi na ratiba yake iko vipi, mwenye kujua ratiba yake ya leo na kesho, na lini atakwenda Mafinga atuwekee hapa ili nimjibu swahiba wangu huyo kwa ajili ya watu wa Mafinga wanaemtaka rais wao mtarajiwa awahutubie.
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa bahati mbaya hana ratiba ya Mafinga. Icheki ratiba yake hapa kwanye hii attachment
  View attachment 14619
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ratiba hiyo hapo!!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ratiba iko tight sidhani kama atapita as next week anaenda Mbeya
   
 5. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hawajamweka mbunge pale labda siyo priority
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sikonge pia hafiki, too bad. Mwaka 2015 nagombea Sikonge kwa ticket ya Chadema.
   
 7. W

  We know next JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nashauri kama atapita kwa Gari, basi asimame kwa dk chache tu, kwa hakika Mafinga kuna kura Nyingi sana...
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Akipita itakuwa vyema lakini hata kama muda hauruhusu walioko huku endeleeni kumpigia kampeni tu
   
Loading...