Sakoyo
Senior Member
- Aug 23, 2010
- 135
- 7
Haaaaaaaaaaaaaaah Eeeeeeeeeeeeeeeeeehaaaaaaaaaaaaah. Yaani Dk. Slaa aongoza kwenye kura za maoni. Sawa inawezekana ni kweli. Ndiyo anaongoza kwenye BLOGS ambako wachangiaji Tanzania hawazidi 500. Nenda vijijini uone kama kweli Slaa atapata kura. Ndiyo atapata Karatu, Arusha na kwa Wachaga kwingeneko Moshi. Lakini nikwambie Slaa haweZi kupata kura KagerA, mWANZA, sHINYANGA,mBEYA, zANZIBAR NA MAENEO MENGINE YOTE YA tANZANIA. yAANI JK atavunja rekodi ya kura katika uchaguZi huu. Atapata zaidi ya asilima 90. Kwanini asipate kura hizo wakati upinzani haujajipanga? Wapinzani wanapiga kelele tu, hawana kitu wala jipya. Ni kweli CCM ina matatizo. WanaCCM na wananchi wanajua hivyo. Lakini ni afdhali zimwi likujualo kuliko lile usilolijua. Watanzania ni watu makini. Hawawezi kuchagua chama ambacho mwelekeo wake ni kupendelea maeneo fulani (Arusha na Kilimanjaro) tu ya nchi. CHADEMA wabadilishe mbinu za uongozi. CHADEMA hii kamwe haitachukua nchi.
Kama ulikuwa unafuatilia 2005 JK alikuwa anaongoza kote, blogs, magazeti, vijiweni nk. then it was justified kwenye kura!!