Dr Slaa ananikumbusha msimamo wa H.E.Sarwatt.

Dr Slaa ananikumbusha msimamo wa H.E.Sarwatt.

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
2,956
Reaction score
1,116
Kama kuna kabila halihongeki ni Wairaqw kabila la marehemu spika wa kwanza wa ubunge la Aftika ya Mashariki. Huyu Sarwatt alikuwa pia mbunge pekee ambaye hakuwa mwanachama wa TANU katika bunge la kwanza baada ya uhuru. Alisimama kama mgombea wa kujitegema - indipendent candidate. Ilibidi atengewe kiti chake bungeni mbali na wabunge wengine wa TANU. Huyu Dr Slaa ana msimamo kama huo wa kutoshiriki katika mambo ambayo hayaamini. Tumemkosa viongozi mzuri. Nakupongeza Dr Slaa naamini maono yako yayadhihirika na wapinzani wako wataumbuka kwani ulikuwa na nia njema ya kutukomboa.
 
Dr. Slaa ni Jembe Mpaka mwisho. Strong principled.
 
Back
Top Bottom