Dr Slaa amuumbua John Tendwa

Dr Slaa amuumbua John Tendwa

Dah maoni tu mbona ishu ndogo hiyo wangetoa tu kukaa kimya kuna tafsiri nyingi
Kukaa kimya wakati issue haijaenda popote ni kweli kuna tafsiri nyingi, lakini kama issue ipo kwenye process za kisheria, kukomenti chochote ni kuingilia uhuru wa mahakama... Tuache mahakama ifanye kazi yake. Ni viongozi wa CCM pekee ndo wanaweza wakakoment hata kitu kinachosubiri hukumu
 
Mbona Liundi hakuwa hivyo?? huyu jamaa ana kiherehere sana halafu anachemsha sana.
 
Iti izi veri anifochuneti Judge Tendwa (Judge) didinti know dhati wozi krimino mata.....Dhisi onli hapenzi in Tanzania.Mai puua Tanzania.
 
Kama kuna kiongozi mmoja asiyenishughulisha na mara nyingi huwa nasahau uwepo wake ni J Tendwa
 
Kuwaingia hovyohovyo watu walio na akili kukuzidi ni madhara makubwa kwa heshima yako.IH. Nadhani hii ilimpita kushoto Ndg,Tendwa,na ina madhara mabaya sana hata kwa wanafamilia wanaokuhusu mbele ya jamii inayowazunguka.
 
mzee wa kishili anatumia masaburi kufikiri sasa amekutana na watu wenye akili nyingi kaumbuka safi sana itakuwa fundisho kwake na kwa vizazi vijavyo......chezea dr. slaa ulale njaaa.
 
Ni mtata sana, au sio?

Huyo jamaa yupo smart sana, nahisi angepaswa kuwa hazina ya taifa letu!
Kama angekuwa anacheza siasa za taifa kama marekani, jamaa angekuwa mtu muhimu sana kule kwao!!
Kiukweli anajitahidi sana kuishi vile anavyohubiri, lakini sina shaka historia itakuja kutuambia ukweli kuhusu hili nilisemalo!!
Tuvute subira!!
Ahsante!!
 
Back
Top Bottom