Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Dah maoni tu mbona ishu ndogo hiyo wangetoa tu kukaa kimya kuna tafsiri nyingi
Dah maoni tu mbona ishu ndogo hiyo wangetoa tu kukaa kimya kuna tafsiri nyingi
Hayo ni mawazo ya kishabiki zaidi. Kumwambia ukweli Tendwa kwa kumfundisha mipaka ya mamlaka na uwezo wake ambao bahati mbaya hayajui kwa vile kila wakati anatetea unga kwa kuwakingia kifua waliomweka madarakani, kuna malubano gani? Au niulize hivi, aliyeanza malumbano kati ya Tendwa na Chadema ni nani? Majambazi wamenivamia kivulini ninapopumzika, wakang'ao utamulisho wangu na kunishushia mkong'oto, mimi nikapeleka kesi polisi, wewe unakuja kuniuliza nitoe maoni? Maoni gani umeambiwa natoka damu? Wewe ndo utoe maoni maana aliyenishushia mkong'oto na mimi wote tunalelewa na wewe. Kama wewe sio mbaguzi unapaswa kuwa mkali na kusema ukweli ukimkaripia mkorofi hata kama kakuhonga ugali. Alichemsha Tendwa. Ina maana yeye yuko nchi gani haoni ccm na vibaraka wake wanavyoutenda upinzani?wangetoa tu maoni yao, yanini malumbano yasiyo na tija?
ogopa sana kucheza na watu wenye akili
ni mpare huyo, ndugu zake Saint Ivuga ila anaishi mazindeHivi ni kweli huyu ni wa ukaya !
wangetoa tu maoni yao, yanini malumbano yasiyo na tija?
ni mpare huyo, ndugu zake Saint Ivuga ila anaishi mazinde
Washauri wa John Tendwa naona wako ktk mgomo baridi, hawawezi kuingia kwenye kesi ya jinai ambayo hawana mamlaka nayo.
Hivi Tendwa hajui mipaka ya kazi yake?
Hivi ni kweli huyu ni wa ukaya !
Na anakurupuka kama kigwangwala.tendwa ana akili kama ya mwigulu