Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Kuna vijana wana akili Za kizee zilizochakaa, mie Sijui kwa faida ya nani mnafanya hivi!!bungeni sio mkutano wa kampeni au mkutano wa hadhara wa chama flani kutafuta umaarufu kwa kupotosha mambo. ni ukumbi wa mikutano ya kutunga sheria za nchi, na kujadili mustakabali wa taifa
Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.
DO SOMETHING or just shuthole.
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Mmeambizana? muhimili huu wa dola mbona haukudharaulika kiasi hiki kpindi cha Spika 6, huu ni wakati wa kumwambia mfalme yupo uchi, tusipepese macho kwenye ukweli, cku fulani nilimsikia Nduuuuuu gaiiiiii anasema kuwa lazima heshima ipatikane bungeni, ili liwe kama bunge lililopita kitu ambacho ubabe hautasaidia kitu bali weredi, kitu kinachowakosa viongozi wa muhimili huu, na ndio maana walihitajika wanasheria coz wanajua jinsi ya kudeal na hizo kanuni na kila upande ukaridhika na siyo kwa ubabe, Mzee Msekwa alisema kiti hicho kinahitaji utaalamu wa kisheria na ndo maana yeye akaenda kuisomea, AKABEZWA MATOKEO YANAONEKANA sasa, for sure hii ni trela mengi bado yanakuja.Bunge siyo kijiwe cha kahawa.
Bunge siyo kijiwe cha kahawa.
DR SLAA kweli ana lake jambo si bure!
Yani kiongozi mkubwa kama yeye anatoa hotuba ya uchochezi waziwazi hivyo?
Kwa hotuba ya jana ya kambi ya upinzani iliyosomwa na Sugu haina wasifu wa kusomwa bungeni, sana sana Sugu angeenda kuwasomea wavuta bangi na wabwia unga wenzie.
Taifa letu Tanzania aliwezi kukaa kusikiliza maneno ya kihuni kihuni aliyoyajaza Sugu na washirika wake kwenye hile hotuba.
DR SLAA muogope mungu, kujitangaza kwako kisiasa kusichafue viongozi wetu wa kitaifa. Kwanza vitabu vitakatifu vimeagiza tuziheshimu mamlaka zilizo wekwa na Mungu, wewe ni PADRE gani usie heshimu maelekezo haya ya Mungu?
Naona Nguvu ya Elfu Saba ime dominate Thread ! Mapovu yanawatoka utadhani wote wana Kifafa ! Hivi anayoyafanya Makinda hamyaoni au mnaona ni sawa ? Cdm itaendelea kuyapinga Mateso wanayopata waandishi kutokana na kazi yao halali mpaka siku ya mwisho , na Nakuhakikishieni kila aliye husika moto wake atauona , si muda mrefu , STAY TUNED.
Unaelewa maana ya tamko?Matamko mengine......
hivi chadema huwa hampitii tamko kabla ya kulitoa?
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
serikali haisimamiwi kwa matusi na kejeli slaa anakokwenda siko yawezekana ndiyo mwisho wake kisiasa.Ni wajibu wa bunge kuisimamia serekali sasa kama bunge haliwezi kuihoji serekali kwa vitu kama ambavyo jana ilihojiwa ni nani ataisimamia serekali?
Mkwara mbuzi ikibidi hotuba ipigwe chini haiwezekani hotuba iandaliwe klabu na walevi wajiwekee maneno yao machafu isikike na taifa zima naunga mkono spika Mia kwa alfu moja
Ritz, ni utaratibu gani uliovunjwa au kanuni gani iloyovunjwa na kama ni maneno ya uwongo si wao waje wakanushe na waeleze uwo ukweli.Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
mkuu, huo ni udhaifu mkubwa kudhani kuwa kila anayempinga dr slaa analipwa buku saba. wengine wamejenga tu chuki naye kutokana na kitendo chake cha kulikimbia kanisa. wengine wamechoka kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu. wengine wana bifu naye kwa kitendo chake cha kujaribu kubaka ofisini kwake. huku wengine wakimchukia kwa kitendo cha kushinikiza akina shonza na mwampamba wafukuzwe, kwa ujumla dr slaa ana maadui wengi kuliko unavyofikiri. ni wewe tu umebaki kumtetea kwa vile tu unatetea mkate wake