mkuu,ihi kitu inasikitisha sana mbunge wabunge wa ccm,badala ya kuisimamia serikali wao ndio kwanza wanaisemea sasa watu wanashangaa kazi ya bunge ni nini,
tiba mimi nilifikili umekomaa kimawazo kumbe bado mchanga kiasi hicho unaeleaelea tu tulia au mpaka upepewe,unaweza kuongea ufisadi bila kumtaja slaa na mbowe? slaa aliiba pesa za kanisa mbona hujatuambia,mbowe anatumia pesa za ruzuku atakavyo na hakuna wa kuhoji akihoja unamfuata chacha wangwe unataka ufisadi gani,pesa za uswis ni nadharia tu zito muhuni anajijengea umaarufu wa uongo kwa kuwahadaa watu na hapo siagusia ufisadi wa wake za watu.
...Mbona hawakuahirisha bunge wakati Serukamba anachangia ili kamati ya maadili ikalipitie lile neno lake kabla hajaendelea kuchangia. au hapo kanunu za magamba zinaruhusu.
Kumbe mlevi wa gongo!!!! Najilaumu kupoteza muda wangu kusoma hii commentKila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.
DO SOMETHING or just shuthole.
Mwigulu anatumia akili nyingi sana akisaidiwa na akina Wasira,Lukuvi,Makinda,Ndugai,hawa ni baadhi ya watu wenye akili nyingi kamamchwa!Dr slaa hana uwezo wa kuingilia mambo yanayoendelea bungeni. anawaharibia bure wabunge wa chadema na sasa wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile. ukiona sugu alivyowasilisha ile speech jana utakubaliana nami kuwa wabunge wa chadema sasa hawatumii hata chembe ya akili yao kufikiri. wanatekeleza tu maagizo ya mkubwa wao bila ya kujua athari zake
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Chawote bdo upo karibu sana.
Chawote bdo upo karibu sana.
Chawote bdo upo karibu sana.
Huyu mzee anazeeka vibaya yabidi Josephine awe ana mpeti peti na tukutuliza ari na munkari ya ubongo wake.
Chezea katerero weye
Kaka mimi sidhani kama umeisoma hotuba ya Sugu,hakuna kilichookotwa mtaani!Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Kaka mimi sidhani kama umeisoma hotuba ya Sugu,hakuna kilichookotwa mtaani!Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mnge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Mi nadhani unapointi nzuri,ila mahala ulipoiweka sipo,kwa hiyo unaonekana kama mtu asiyefikiri.Ossue ni juu ya Spika na ufuataji wa kanuni,wewe unazungumzia mapenzi,inaonekana 20hrs per day unawaza ngono tu.Badilika!Chezea katerero weye
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, amesema ikibidi Bunge livunjike au wabunge wa chama hicho wafukuzwe bungeni, lakini hawako tayari kuzibwa mdomo kuzungumzia masuala yanayohusu maisha ya Watanzania. Amesema chama hicho hakitakubali wabunge wake wapangiwe mambo ya kuzungumza kwa kutegemea busara za Spika au Naibu Spika, bali wataangalia na kufuata maelekezo ya kanuni za Bunge, akisema ndiyo msingi wa uendeshaji wa chombo hicho cha uwakilishi wa wananchi.
Akizungumza katika mikutano ya hadhara iliyohudhuriwa na maelfu ya watu jana katika maeneo ya Ngalangala, Basotu, wilayani Hanang na Haydom, wilayani Mbulu, kuhusiana na hotuba ya Sugu kuahirisha Bunge, Dk. Slaa alisema wabunge wa chama hicho daima wataendelea kuwasemea Watanzania wanyonge ndani na nje ya Bunge. Moja ni tukio lililotokea leo (jana) bungeni. Kwa wale mliofuatilia mkutano wa Bunge mliona kilichotokea. Ninachotaka kumwambia Spika na wasaidizi wake bungeni ni kwamba Bunge linaongozwa kwa kanuni za bunge, si vinginevyo.
Uamuzi aliofanya wa kuagiza hotuba ya wabunge wetu ipelekwe kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge ni kinyume na kanuni ambazo ndizo msingi wa utendaji kazi wa bunge. Hakuna sehemu yoyote katika kanuni inampatia mamlaka Spika ya kupeleka hotuba ile kwenye kamati hiyo, ili waelekeze nini kisemwe. Hakuna, alisema Dk. Slaa huku akishangiliwa na umati mkubwa wa watu.
Alisema kuwa baada ya mawasiliano ya viongozi wa juu wa chama hicho na uongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, walikubaliana kuwa kwa sababu hotuba hiyo haikuvunja kanuni yoyote ile ya Bunge, hawatakubali kuondoa au kupunguza neno hata moja.
Source:Nipashe Jumanne.
slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
Unapata nini kwa unafiki huu uliyopitiliza?amuonye kwanza sugu