Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Nimesoma mwananchi eti lowassa akiingia madarakani atachunguza upya sakata la opp'tion tokomeza swali je vp kuhusu sakata la Richmond ndo imetoka nn???
 
Yes, kwa kuchemka... But not affecting voters decisions

Una kura moja tu, usihesabu ya kwangu mpaka unishawishi kwa hoja nzito hasa ukiweza kusafisha ufisadi wa mgombea wa Urais wa UKAWA, kwa maana ni viongozi wa CHADEMA walio mtuhumu.
 

Huyu dr slaa anagombea nini uchaguzi mwaka huu?
 
Huwezi kumfananisha Kenyatta na huyu fisadi Lowasa. Utajiri wa Kenyatta unaeleweka. Utajiri wa Lowasa ni upi?

Aisee Ccm mna akili nyingi kumbe hata utajiri Wa LOWASA HAMUUJUI SASA KILA KUKICHA MNAMWITA FISADI KWA KIPI ???
 

umenena vyema lkn umesahau kukagua wanao changia post wanamsapoti nani!?fanya utafiti uje upya...mmechemka sana..lowasa moto chini..wananchi hawatishiki na ngojera za ufisadi sababu wanajua ccm ndo kiwanda cha ufisadi...bora tudili na fisadi mmoja tu
 
Ni kweli kabisa mkuu, ila wakati Slaa anamfunika Lowassa kwenye media, Lowassa naye kamfunika Magufuli kwenye media hizohizo kwa mbali saana. Yaani kwa sasa ni Slaa vs Lowassa, yaani utadhani hao ndo wagombea pekee wakati kina Magufuli, Rungwe na wenzao hawapo tena kwenye media.
 

Nakuona upo naive kwenye mambo mengi nikifuatilia analyses zako. Fahamu kuanzia leo kuwa mtu anaweza kuwa popular kwenye media FOR THE WRONG REASONS. Mathalan akitokea mtu akawachukua watoto wa shule akaenda kuwakaanga akawala, he will become popular, yaani atapata publicity lakini sio kwa sababu nzuri but we call it POPULARITY FOR THE WRONG REASONS.
 
wakati Dr. Slaa anamfunika Lowasa kwenye media, Lowasa amtimulia vumbi magufuli kwa idadi ya wanaomuunga mkono kwenye box la kura.
 
Moto umewaka tutajua mbivu ni zipi huko kwa jirani
 
Yes. Mabadiliko ya kuachana na vita dhidi ya ufisadi na kukumbatia mafisadi

Yeyote anayeshabikia na kutetea CCM wabaki madarakani kwa kujitambua au kutojitambua anakuwa anakumbatia mafisadi by default.
 
 
Kwani yeye huyo slaa ni mgombea wachama gani vile, usije ukawa umeathiriwa na mfumo wa ccm hata hauoni nchi inakwenda wapi

Nyie Lowasa kawatia mapepo na sasa hamjitambui.Hv unaweza na sababu za msingi kiuwezo,utendaji na uadilifu kutosha Lowasa kuwa Rais.
 
dr. slaa ni kiboko yao kashawanyoosha kabla ya kun yooshwa tar 25 oktoba, mwisho wao umeshafikia sasa , mbwe mbwe zote zimekwisha , hawana jipya wala sera wala hoja wamebaki kujitetea tu kwenye mitandao poor them #hapakazitu
 
Mkuu, yaani mmechanganyikiwa sana. Huwezi kumpa kazi ya kuleta mabadiliko fisadi. Hapo ndipo mlipojinyea kiganjani

Ndo mana Tanzania tunaonekana Mabwege kwa wenzetu wa EAC.Yaani watu wanashabikia jambazi na fisadi badala ya kuandamana akamtwe.Matanzania yamejambiwa na kicheche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…