Dr Slaa amaliza ziara Marekani

" Umoja wa vyuo vikuu vikubwa nchini humo" kama John Hopkins, Havard, Stanford, Penn State, UC, TU, VT GT,BU nk, Dr. Slaa hakukanyaka bali alikwenda Stamford ambayo ni ndogo na ipo nje ya mji. Hakuna kitu kinachoitwa "uwanja wa ndege Marekani" aliyeandika hii habari kuna uwezekano mkubwa haijui Marekani au ni mshabgiliaji
 

Foolish mind in foolish age
 
Read between the lines. Kumfananisha na nyerere si amekufanyia nini, ila angalia kwa makini hoja zake zinafanana na zile za baba wa Taifa.
 

Ni kweli hatuzihitaji! Mkiwa na mawazo ya aina hii hii nchi itabaki maskini always, pamoja na rasilimali nyingi zilizopo. Kuombaomba hakuinui uchumi wetu,otherwise tungekuwa matajiri sana duniani kwani tunaongoza kuombaomba na kukopa.
 
Nimejaribu kupitapita mitaani japo nisikie wapiga kura wakiingolea hii ziara ya dr,lakini sijapata hata mmoja.
 

Kwamba italetwa na Mkristo mimi sina mpango nayo. Ukweli ni kuwa CCM imewafanya waislam wa nchi hii kuwa ni mazuzu. Mnadanganywa mnapiga kura mlichoaidiwa kinaota mbawa
 
magamba mlitaka atoe hotuba kwa maneno YA KUAMBIWA,KUELEZWA NA KUFAHAMISHWA KAMA mr dhaifu? hotuba ya dr slaa inaonesha alivyo hai kichwani na huyo ndiye rais tunayemuhitaji kwa sasa.
 
Read between the lines. Kumfananisha na nyerere si amekufanyia nini, ila angalia kwa makini hoja zake zinafanana na zile za baba wa Taifa.

Alhaji Dr. Kikwete leo ameshiriki KUUMEGA MKATE katika MISA TAKATIFU ya kumwombea Mwenyeheri BABA WA TAIFA LA TANZANIA.

Alhaji Kikwete ameungama leo dhambi zake mbele ya Mhashamu Baba Askofu Ngalalekumtwa.

Alhaji Kikwete kwa unyenyekevu mkubwa ameshiriki misa takatifu kwenye KANISA KATOLIKI.

Alhaji Kikwete LEO ameshiriki kusema' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu'
 

Acha UDINI mpuuzi wewe.
 
Vipi Padri Slaa ameshawasili au amekosa ndege kwa kuchelewa kuamka.
 

Mmeshamkamata Luhanjo kwa wizi wa hela za msaada kutoka Norway? Norway wanataka aeleze ametumiaje hizo hela. Pia mshikaji wake jk ana uwezo wa kumkamata mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…