Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
~mkoa unaoongoza kwa umasikini_singida
~mkoa unoongoza kwa kutoa mahouse girls_singida
~nyumba za tembe_singida
~kwa shida ya maji_singida
~kwa elimu_singida.
nilitegemea ungejikita kupigana na hizo changamoto kuliko kumshambulia dr slaa ambaye ameikomboa Karatu na sasa Taifa!
Hii sasa ni kufuru,kijana Dr amekufanya nini mpaka utake kumfananisha na Nyerere?Namfananisha Dr Slaa na Nyerere.
Watanzania tunapaswa kuona mbali na si hapahapa.
Mtoa mada kasema Dr anashangaza kwa kile cha kutotaka misaada na badala yake skill. Tukienda hivi basi tutafika tutakako.
Tuelimishwe tu jinsi ya kuvitumia tulivyonavyo. Hii ndo sauti ya Dr.
Taifa ni watu..na watu ndio sisi. Sisi tumemwamini Slaa. Taifa linamwami. Mamilioni ya Watanzania tunamwamini. Taifa limemtuma Slaa...
Teh teh teh teh! JF kuna vituko.Haya sasa misukule ya Ufipa nendeni airport mkampokee master wenu anakuja,Molemo usisahau kuchukua mbeleko ya kumbebea junior
Hii sasa ni kufuru,kijana Dr amekufanya nini mpaka utake kumfananisha na huyu bazazi?
Hii sasa ni kufuru,kijana Dr amekufanya nini mpaka utake kumfananisha na Nyerere?
Kwa hiyo na Josephine mlimtuma awaite watanzania waliopo ngambo ni wakimbizi?
Ungekuwa unajikita kwenye hoja tungejadili lakini post zako nyingi ni za kushambulia mtu hasa Slaa badala ya issue,Yes, kwa njia hii ya kilaghai utakuwa umefika.
Kweli kipofu akiona mwezi inakuwa ni balaa.
Haya sasa misukule ya Ufipa nendeni airport mkampokee master wenu anakuja,Molemo usisahau kuchukua mbeleko ya kumbebea junior
Sorry ilikuwa ni typing errors Labda nikuulize swali,Hivi na wewe unaweza kuthubutu mbele za watu wenye akili timamu ukamfananisha Dr Slaa na Mwalimu?Nyerere hawezi kuwa bazazi. Mabazazi ni wale wajinga wanaokubali kufanywa ngazi na CCM halafu walichoahidiwa hakitekelezwi.
Mbona mnatachanganya Dr.Slaa kwenye hotuba yake anasema watanzania wamemtuma Marekani, mleta mada anasema alialikwa na vyuo vikubwa Marekani.
Junior ni binadamu kama wewe. Ndio maana Mama yako alivyokuzaa alinunua mbeleko ili akuache na YAYA wakati yeye anapuyanga. Ndio maana akili zako ni 100% UMEBEMENDWA
Namfananisha Dr Slaa na Nyerere.
Watanzania tunapaswa kuona mbali na si hapahapa.
Mtoa mada kasema Dr anashangaza kwa kile cha kutotaka misaada na badala yake skill. Tukienda hivi basi tutafika tutakako.
Tuelimishwe tu jinsi ya kuvitumia tulivyonavyo. Hii ndo sauti ya Dr.
Kwa hiyo unataka kusema nini ziara haikufanyika?Mbona mnatachanganya Dr.Slaa kwenye hotuba yake anasema watanzania wamemtuma Marekani, mleta mada anasema alialikwa na vyuo vikubwa Marekani.
wewe ni limbukeni sana .Kwani Tanzania ina raslimali ngapi kama itaamua kuzitumia vizuri kwa kuziutilaizi yenyewe na kwa kuajiri watu wenye utaalam kutoka nje na kukopa mtaji ili kuziuzia nci za nje badala ya nchi za nje kuja kuchimba wao na kupeeleka zikiwa malighafi kwao ,halafu wanarudi tena kutuuzia kama malighafi kwa ajiri ya viwanda vyetu ( kama ambavyo india ununua koroso gafi wanazipaki alafu wao ndo wanajiita wazalisaji wakubwa wa koroso duniani NA TUNAENDA KUNUNUA TENA NA KUZIUZA KWENYE SUPERMARKET ZETU )na pia nyingine zinarudi kama vifaa feki. Sasa nawe tukuite msomi au ulifuta ujinga. Msomi ambae elimu yake aiwezi kumsaidia kuondoa matatizo na vikwazo katika maisa yake ni sawa na mfu anaetembea.Hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.Na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.Hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa CHADEMA.Hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.Saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.