Katika hotuba iliyotikisa wazungu ni pale kiongozi huyo nyota wa Tanzania aliposema CHADEMA haitaki pesa za wamarekani bali wanachokitaka kutoka kwao ni Utaalamu wao (Skills)l
Hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.Na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.Hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa CHADEMA.Hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.Saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.
Kwa hiyo ulitaka aseme ukombozi wa Tanzania utapatikana kwa pesa ya wamarekani? Dont be serious!
Hivi wewe unavifahamu vyuo vikuu vikubwa Marekani kama siyo kuonyesha jinsi usivyofahamu kile unachoandika.Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amemaliza ziara ya wiki tatu nchini Marekani aliyoalikwa na Umoja wa vyuo vikuu vikubwa nchini humo.
Kwani hakuwa na kitu kingine cha kuongelea ilikuwa lazima aongelee hilo tu? Au mlimwandikia na akashindwa kuchukua hoja achanganye na akili za kwake ili apate cha kuongelea kingine?
Hivi wewe unavifahamu vyuo vikuu vikubwa Marekani kama siyo kuonyesha jinsi usivyofahamu kile unachoandika.
Nyenzo zote za kutafiti, kujifunza na uelewa umepewa lakini kwa uvivu au kutokuelewa kutumia inakufanya uonekane bado uko gizani na hufahamu kile unachokiandika.
Hata kutumia google search engine napo mpaka tukufundishe?.
Akili za kibavicha ni hasara tupu.
Huwa huna hadhi ya kujibu post yangu.You are in my Ignore List!
Viwe vyuo vidogo au vikubwa lakini kilicho muhimu ni kuwa ujumbe umefika.Hivi wewe unavifahamu vyuo vikuu vikubwa Marekani kama siyo kuonyesha jinsi usivyofahamu kile unachoandika.
Nyenzo zote za kutafiti, kujifunza na uelewa umepewa lakini kwa uvivu au kutokuelewa kutumia inakufanya uonekane bado uko gizani na hufahamu kile unachokiandika.
Hata kutumia google search engine napo mpaka tukufundishe?.
Akili za kibavicha ni hasara tupu.
Mwambie wewe maana hawa jamaa akili wameshikiwa hata milango ya faham pia hebu ZINDUKA kijana MolemoHivi wewe unavifahamu vyuo vikuu vikubwa Marekani kama siyo kuonyesha jinsi usivyofahamu kile unachoandika.
Nyenzo zote za kutafiti, kujifunza na uelewa umepewa lakini kwa uvivu au kutokuelewa kutumia inakufanya uonekane bado uko gizani na hufahamu kile unachokiandika.
Hata kutumia google search engine napo mpaka tukufundishe?.
Akili za kibavicha ni hasara tupu.
Kweli kipofu akiona mwezi inakuwa ni balaa. Inavyoonekana Dr.nSlaa hakuwahi kusafiri na kukaa Marekani hata kwa wiki moja. This was beyond his aura.Wiki hii mitandao ya kijamii nchini Kenya ilitawaliwa na Hotuba ya Dr Slaa iliyosambazwa na kuchukuliwa kama 'The greatest speech from African Politician'
Hayo peleka Lumumba.Its none of your business!
Next time jaribu kujitunzia heshima uko huru kusema chochote lakini si kwa kiwango hiki. This is too low Mwigulu.
Pls Mods angalieni maadili ya jukwaa hili.
Next time jaribu kujitunzia heshima uko huru kusema chochote lakini si kwa kiwango hiki. This is too low Mwigulu.
Pls Mods angalieni maadili ya jukwaa hili.
Hebu soma tema post yako uone usivyokuwa makini kiuandishi......Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.
.....Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.
.....CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.
Mkuu Molemo naona unagawa za uso tu. MwanaDiwani amekupata sawa sawia