Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,947
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!
 
Na mtajinyonga sana mwaka huu. Vua hiyo miwani ya kuchomelea vyuma upate kuona the real things we gamba.
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Be mwagito, kwani umeambiwa kuwa Dr. Slaa alienda kusomea Urais kule USA? Unaniaibisha mhehe mwenzako ujue.
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Mkuu uwa unajiaibisha sana,unajua kukaa kimya kwa mtu mzima uwa inamsaidia sana kuficha uelewa wake na u.p.u.m.b.a.v.u wake!hata kama hauna elimu,kuna hoja nyingine hata yule hasiye na elimu kama wewe atakudharau tu!kwanza hoja yako haieleweki imelenga nini hasa,pili hv kuna vyuo dunia vinatoa taaluma ya urais?unajiaibisha sana Chris unaiaibisha hata familia yako,umri wako na hoja unazotoa hata watoto wadogo wanakudharau sasa!
 
Sometimes we Ought to learn from Nonsense and Useless thread like this ones of my colleague " idle thinker". Intellectual believes in Learn Good Practices from Others and Emulate if Need So. What Makes them ( US & EU) to be there...and, What hinder us Africans with abundant of natural resources is what Prospectus leaders a researching through what you don't know "Leadership learning study tour"
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Yaani ukisoma comments za wana CHADEMA humu kuhusu hizo safari utacheka! utafikiri alienda kusomea uraisi.Raisi Kikwete alishasema uraisi hausomewi hakuna chuo cha kusomea uraisi hawaelewi wagumu kama mpingo wanaamini alienda kusomea uraisi.
 
hivi urais unasomewagwa kweli! au ndo kusema umevurugwa na ukatuletea upuuzi wako hapa! istoshe mambo ya chadema yanakuhusu ninh!
 
CCM Chama Imara Na Kitadumu Kwani kina Viongozi Makini.Haya Nimemaliza Ndilo Ulitakalo Kalale Usisahau Kupita Lumumba!!
 
Uniulize nilitoa kiasi gani cha fedha...

Kwa taarifa yako mimi nilitoa nusu nzima ya huo mchango

....nakuuliza tena kwa mara ya mwisho!!!!

....fedha ulizo changia wewe na zile tulizo changa wadau hapa London zilikuwa jumla kiasi gani?

......
 
Obama anajua Kukumbatia, wee acha tu 🙂

barackobamabarackobamadiscussesgovernmentsmp8smnaowbl.jpg
 
Ni lini utakuwa na akili we -------- hadi uache kujadili pumba,zisizo weza kuwafanya wadogo zetu wanaopitia michango yetu humu ndani wapate la kujifunza? Ni njaa ama ujinga vinavyokufanya ujitoe fahamu ili mradi tu uonekane una mapenzi na CCM ?
 
Back
Top Bottom