Nampongeza Dr Slaa kwa kusikika baada ya kujificha kwa muda mrefu. Nimefuatialia majibu yake, but kinachonitatanisha ni kwamba, huyu dr hana sera mpya. Kwanini kila akiongea popote lazima atoe reference za EPA na Ufisadi?
Huu ni muda muafaka kwake kubadilika.
Wananchi tunahitaji kupata mapya kutoka kwake. Tunahitaji kusikia juhudi anazozifanya na chama chake kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
Hata kama ni past issues,lakini kumbuka ndio issues zilizoturudisha nyuma WATANZANIA,na ndio zinazozidi kututesa mpaka leo.Au wewe na MAFISADI wenzio hamlioni hili?Hizi ni past issues...we need something new, something different
waendelee tu kutuamsha. SisiOk...tayari ameshatutoa usingizini! what is next? mbona kila siku anazidi kutuamsha?
Tunahitaji kusikia kipya kutoka kwake! hayo tumeshayasikia na tumeyachoka!!
Thibisha nimepotokaje.Usipothibitisha basi wewe ndio utakua umepotoka tena sana.wewe umepotoka sana!!!!una fikra za zidumu fikra za mwenyekiti!!!
Daudi...nadhani wewe ni mfuasi mzuri wa CDM, lakini sitaki kukutoa kwenye mada...mna mpango gani na Slaa kwa sasa? Naona kama mmemtenga sana kwenye masuala mbali mbali ya kichama.Swali la zamani hupata jibu la zamani, swali jipya hupata jibu jipya Sheikh.
Plan B ilikuwa kwenda Ikulu kupiga picha na Rais..nayo imefanikiwa kwa 100%waendelee tu kutuamsha. Sisi
wakristo huwa tunasema Yesu atarudi watu wote watakaposikia injili hivyo bac sera za cdm zitakaposambaa kwote mpk huku vijijini tunakoshobokeaga ubwabwa ndo wataendelea na plan B.
Kinachotutesa watanzania ni Uvivu wetu. Tukijituma kila kitu kinawezekana...unaweza ukiangalia wenzetu waliondelea wanavyojituma. hizo issue za Ufisadi ni za miaka hii ya karibuni, Umasikini tulikuwa nao toka enzi hizoHata kama ni past issues,lakini kumbuka ndio issues zilizoturudisha nyuma WATANZANIA,na ndio zinazozidi kututesa mpaka leo.Au wewe na MAFISADI wenzio hamlioni hili?
Mi sio DAUDI MCHAMBUZI,lakini swali hili linanihusu kama MWANA CHADEMA,nauliza KIVIPI?Funguka.Daudi...nadhani wewe ni mfuasi mzuri wa CDM, lakini sitaki kukutoa kwenye mada...mna mpango gani na Slaa kwa sasa? Naona kama mmemtenga sana kwenye masuala mbali mbali ya kichama.
kama katibu mkuu, yeye ndiye mtendaji mkuu wa mambo yote yahusuyo chama...recently sijamsikia kabisa. Chama kimekuwa kikifanya madudu mbali mbali especially lile la kwenda ikulu kupiga picha, kupingana kuhusu posho baina ya wabunge wa CDM, kushiriki maadhimisho ya uhuru, katiba na mengine mengi. Kama katibu mkuu..nilikuwa nategemea kumsikia akiplay role yake, lakini hajaongea chochote, matokeo yake anakuja kumjibu mwandishi na tena shallow na kwa kutoa reference ambazo tumeshazichoka!Mi sio DAUDI MCHAMBUZI,lakini swali hili linanihusu kama MWANA CHADEMA,nauliza KIVIPI?Funguka.
Kinachotutesa watanzania ni Uvivu wetu. Tukijituma kila kitu kinawezekana...unaweza ukiangalia wenzetu waliondelea wanavyojituma. hizo issue za Ufisadi ni za miaka hii ya karibuni, Umasikini tulikuwa nao toka enzi hizo
Asante sana dada Jane..kwa hizi red umeelezea dhana nzima ya Chadeama.Kaka Rejao hivi wewe unafikiriaga kuwa kazi za cdm ni zile zinazoelezwaga humu jf tu. Njoo huku vijijini ndo utajua kazi anazozifanya dr wa ukweli na cdm kwa ujumla. Mi ni mwl tena wa shule za msingi niko kijijini sana na kusini mwa tz, sio mchaga lkn nimeelewa nini anachokiongea dr na cdm kwa ujumla. Spirits walioniambukiza hao watu natahakikisha naisambaza kwa kadri ya uwezo wangu. Ukumbuke mi ni mwl ninashinda na watoto mia sita kila siku ambao wana wazazi wao. Mateaches tumejipanga kuleta PANATANZAIZIM instead of PANAFRICANISM. Nyie kaeeni kuogojea Mbowe na Slaa kwenye maandamano. Waacheni wapumzike kazi kubwa walishamaliza.
hebu kama CDM tuambieni mna strategies gani kama hii ya kuongeza juhudi katika kufanya kazi hamuikubali?Bora uwe na uvivu wa mwili kuliko kuwa na uvivu wa kufikiri. Kusema Watanzania ni wavivu ni matusi. Hizi wanazoiba na kugawana zinatoka kwenye masaburi yako? Mtu mwenye akili kama zako mimi namfananisha na KUKU WA MAYAI. Kuku wa mayai ndiye hutaga yai, likaondolewa pale bandani lkn kesho akataga lingine bila kujiuliza la jana limekwenda wapi.
Ni kweli tunatakiwa tufanye kazi, lkn mustakabali wa jasho letu ni muhimu. Kama tunafanya kazi isiyo na tija hatutaitwa wachapakazi badala yake tuitwe majuha. Kuna faida gani kulima kwa jasho, kuvuna kwa taabu, kuhangaika na kusafirisha mazao toka shambani, halafu tuje kuyaweka ktk ghala lililojaa panya? Huo ndio uchapa kazi?
Strategic issues must first be examined fully before putting effort on execution of the parts. Otherwise ni ujinga. Tena kama una mawazo hayo ujue wewe ni mjinga nambari moja. Ni akili za kitumwa tu ndio zinaruhusu kufanya kazi bila kuangalia mafao yanatumikaje.
kuna jambo linalo kusumbua kuhusu CDM na bado hujaliweka waziNi vizuri kafanya hivyo!
Sijalisoma bado la yaelekea anajibu kwa kuonyesha postive achievements za CHADEMA na hilo ni kosa!
Mayage kasema chama kina nafasi wafanye zaidi ya walivyofanya sasa! Sasa inaonekana watu hawapendi kukosolewa, hili nalo ni mapungufu ya kiuongozi! Ndo maana Dr Slaa naye hafai kuwa kiongozi wa nchii hii!
Haya ni maoni yangu kama mwana CHADEMA, unafiki kwangu hauna nafasi!!!