Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
Kawaida kisheria ushahidi unaletwa na mtoa tuhuma, na mtoa tuhuma anapaswa athibitishe pasipo kiwingu cha mashaka kuwa tuhuma anazotoa ni kweli.Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Options
Willibrod Slaa
Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
But what is the issue Marcopolo? Alikopa na alishalipa. What is the issue here?Huyu mzee mbona anataka kudanganya mchana kweupe!!! Watumishi wa chama hawawezi kukopa kwingine?????? Huyu mzee anadhani kila mtu anadanganyika kama nanihii...
But what is the issue Marcopolo? Alikopa na alishalipa. What is the issue here?
Mkuu, issue ni kwamba swala hili lililetwa hapa JF kwa mara ya kwanza na TUNTEMEKE ambaye alipigwa ban kwa kosa la kuleta "taarifa ya uongo". More than 14 months later, ndio babu anajitokeza kukubali kuwa alichukua pesa za chama.
Mbaya zaidi, babu anakuja na porojo kuwa watumishi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kukopa. Halafu babu huyuhuyu anataka aaminiwe kuachiwa Ikulu. Bado huoni issue ilipo Jasusi?
pesa zilishalipwa kwahiyo tunabishania deni ambalo ni non exist watanzania sisi kwanini tunapenda kubishana vitu vya kijinga na kuacha mambo msingi utakuta mtu anabishana mpaka mishipa inamtoka kubishania simba na yanga wakati mali za taifa zinapotea hata habari hana halafu anashangaa kwanini huduma za jamii zinadidimia.
Options
Willibrod Slaa
Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya
Deni limeshalipwa, tena imepita miezi saba sasa. What is the issue? Sijui na siwezi kuhukumu madai kuwa watumishi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kukopa. Lakini nisingekurupuka na kusema ni uwongo kabla sijafanya utafiti. Let us give him the benefit of the doubt until proven otherwise. Lakini naona wenzangu mna haraka ya kutoa hukumu na kukimbilia conclusion kuwa asiaminiwe kupewa Ikulu. Leo ikulu inakaliwa na mwizi wa mali za umma. Sijawasikia mkilalamika. Sioni issue.
I dought kama kauli hii ni ya babu. Haina vionjo tulivyozoea.
Utaratibu gani ulitumika kumkopesha? Je, viongozi wengine pia wanaruhusiwa kukopeshwa? kwa utaratibu upi?
Kwanini TUNTEMEKE alivyotoa tuhuma hizi kwa mara ya kwanza mwaka 2011 alipigwa ban wakati inaonekana kweli wakati huo deni lilikuwepo? - Tuntemeke aombwe radhi, to be fair...
Tuhuma zimeendelea kuwepo kwa sababu hazikujibiwa.