M mchaichai JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 648 Reaction score 77 May 11, 2013 #121 duh nawakubali makamanda na wananchi wa mbeya ndiyo maana mnapata maendeleo ni kwa sababu ya kudai haki kama hivi hapa wengine wanadanganywa na ccm ni mama eti ni baba. wakuwa control wetu na cc tutakuwa case wenye elimu ya utafiti wananielewa
duh nawakubali makamanda na wananchi wa mbeya ndiyo maana mnapata maendeleo ni kwa sababu ya kudai haki kama hivi hapa wengine wanadanganywa na ccm ni mama eti ni baba. wakuwa control wetu na cc tutakuwa case wenye elimu ya utafiti wananielewa
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 May 11, 2013 #122 Haijawai kutokea.
L Lusoli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 258 Reaction score 80 May 11, 2013 #123 idawa said: View attachment 93271 Haijawai kutokea. Click to expand... Pamoja mkuu
K kibwaso JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 627 Reaction score 135 May 11, 2013 #124 Tunashukuru kamanda kwa taarifa
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 May 11, 2013 #125 Dr.Slaa.... Tulichojifunza ccm ilipanga lwakatare ashtakiwe kwa kesi ya ugaidi, ili badae wahamie kwa viongozi waandamizi na hatimae kufutwa kwa chadema.
Dr.Slaa.... Tulichojifunza ccm ilipanga lwakatare ashtakiwe kwa kesi ya ugaidi, ili badae wahamie kwa viongozi waandamizi na hatimae kufutwa kwa chadema.
Frank Sojo JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 343 Reaction score 97 May 11, 2013 #126 casampeda said: Padre kuchukuwa wake za watu ndo heshima!!! Click to expand... Siasa zenu za kitoto hizo zimepitwa na wakati!
casampeda said: Padre kuchukuwa wake za watu ndo heshima!!! Click to expand... Siasa zenu za kitoto hizo zimepitwa na wakati!
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 May 11, 2013 #127 Lusoli said: Pamoja mkuu Click to expand... Pamoja mkuu Lusoli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr. Bigman JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 2,560 Reaction score 1,301 May 11, 2013 #128 Hanipha Musri said: Kula 4. Click to expand... Yap! Umeonaaa!!
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 May 11, 2013 #129 Lusoli said: Pamoja mkuu Click to expand... Pamoja mkuu Lusoli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
L Lusoli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 258 Reaction score 80 May 11, 2013 #130 Dr.anatueleza undani wa swala la lwakatare.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 May 11, 2013 #131 Cdm sasa wapunguze mikutano vingnevyo ni kama kipindi cha mariam migomba!
L Lemmi28 Member Joined Apr 26, 2013 Posts 9 Reaction score 2 May 11, 2013 #132 aiseeee ya huo umati wa watu umenifanya nifurahi adi machozi yananitoka yaan huu umati adi kwenye sandaku la kura 2015....
aiseeee ya huo umati wa watu umenifanya nifurahi adi machozi yananitoka yaan huu umati adi kwenye sandaku la kura 2015....
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 May 11, 2013 #133 Dr.Slaa akiendelea kuwaelimisha wanatunduma dhidi ya udhalimu wa ccm.!!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,358 Reaction score 100,385 May 11, 2013 #134 I can see the end.......
tony22 Senior Member Joined Jun 29, 2012 Posts 116 Reaction score 25 May 11, 2013 #135 kila la heri makamanda
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 May 11, 2013 #136 Dr.Slaa....leo ameamu anaelezea kila kitu kuhusu mkanda wa shekh ilunga akilinganisha na unaoitwa ugaidi wa lwakatare. Asante Dr. Maana wengi hawawezi kutembelea mitandao ya kijamii.!!!
Dr.Slaa....leo ameamu anaelezea kila kitu kuhusu mkanda wa shekh ilunga akilinganisha na unaoitwa ugaidi wa lwakatare. Asante Dr. Maana wengi hawawezi kutembelea mitandao ya kijamii.!!!
L Lemmi28 Member Joined Apr 26, 2013 Posts 9 Reaction score 2 May 11, 2013 #137 daaa kwa huu umati sipati picha 2015.....
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,174 Reaction score 7,007 May 11, 2013 #138 Baada ya kuona huo umati nimeamua kuja bar na kuagiza kinana (tusker) mbili za baridiii ili kusherekea ukombozi
Baada ya kuona huo umati nimeamua kuja bar na kuagiza kinana (tusker) mbili za baridiii ili kusherekea ukombozi
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 May 11, 2013 #139 Naona leo dr. Ameamua kuweka gwanda pembeni!
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,043 Reaction score 7,477 May 11, 2013 #140 Wingu said: Yupo na Mchumba wake au mwenyewe Click to expand... Yupo na dada yako.