Dr. Slaa ailipua Ikulu

Dr. Slaa ailipua Ikulu

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameshtushwa na Ikulu ya Tanzania kuwalinda wezi wa kashfa ya Escrow ikiwa ni zaidi ya wiki moja tangu Bunge lipitishe hoja ya kuwafukuza mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali.

Akihutubia Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Manzese Tip Top jijini DSM kiongozi huyo kipenzi cha watanzania amelaani hatua ya kupuuza maamuzi ya bunge hadi sasa.

Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali dhidi ya wezi wa mali ya Umma ameshangazwa na jeuri ya mawaziri Sospeter Muhongo na Anna Tibaijuka waliokula kiapo cha kukataa kujiuzulu huku Rais akikaa kimya bila kuwafukuza mara moja.

Dr Slaa anayeombwa na watanzania wengi kugombea Urais mwakani ameonya vikali tabia ya watu kukimbilia Ikulu kwa maslahi yao.

Dr Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoka hadharani kupinga maneno yake kama kweli Ikulu haiwalindi wezi wa Escrow.

Dr Slaa ambaye amekuwa kinara mkuu wa kupigia kelele wizi wa kashfa ya Escrow nje ya Bunge ameonya watanzania wasiichague CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa bali wachague wagombea wa UKAWA
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
 
Nataka UKAWA wakomalie na majina ya watuhumiwa waliochota fedha za ESCROW kupitia benki ya Stanbink.Huko ndiko kwenye majina ya watu muhimu sana wakiwemo hawa wanaodai kuwa wapinga ufisadi nchini!
 
safi sana DR SLAA , SISI WANANCHI TUNAKUTEGEMEA SANA .
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa yachademaa.[/QUOTE

kingunge mganga wa kienyeji ccm.na Dk slaa nani kibabu?

a cha uongo wa mchana ccm imejaa vibabu kibao tukiorodhesha humus thread inajaa mfano
 
"Anaetakwa na watanzania agombee urais" vioja vya mmarangu Molemo haviishi.

Huja acha kujidhalilisha tu kwa hisia za udini na ukabila?!

Wewe ni miongoni mwa watu mnao shusha hadhi hili jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

ingekuwa hoja muflis wazungu wasingewanyima hela mkabaki mnapumulia mashine kama ilivyo sasa .
 
Hoja za kijinga kama hizi hazipaswi kutolewa na watu wazima halafu ziletwe jukwaa la hoja pevu (jf) na mtu anayeheshimika ndani ya saccos aitwaye molemo
 
ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague chadema kwa sababu rais kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo rais kikwete akitengua ndiyo wasiichague chadema.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

dr slaa ndio kiboko yenu , mafisadi wakubwa nyie !
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Tantalila..

Kisu kimefika kwenye mfupa.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameshtushwa na Ikulu ya Tanzania kuwalinda wezi wa kashfa ya Escrow ikiwa ni zaidi ya wiki moja tangu Bunge lipitishe hoja ya kuwafukuza mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali.

Akihutubia Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Manzese Tip Top jijini DSM kiongozi huyo kipenzi cha watanzania amelaani hatua ya kupuuza maamuzi ya bunge hadi sasa.

Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali dhidi ya wezi wa mali ya Umma ameshangazwa na jeuri ya mawaziri Sospeter Muhongo na Anna Tibaijuka waliokula kiapo cha kukataa kujiuzulu huku Rais akikaa kimya bila kuwafukuza mara moja.

Dr Slaa anayeombwa na watanzania wengi kugombea Urais mwakani ameonya vikali tabia ya watu kukimbilia Ikulu kwa maslahi yao.

Dr Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoka hadharani kupinga maneno yake kama kweli Ikulu haiwalindi wezi wa Escrow.

Dr Slaa ambaye amekuwa kinara mkuu wa kupigia kelele wizi wa kashfa ya Escrow nje ya Bunge ameonya watanzania wasiichague CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa bali wachague wagombea wa UKAWA
Mke akifurahishwa na bwana ake usiku, akikutana na mashoga zake lazima amsifie kama unavyoona kwenye haya maelezo meengi ya mkuu molemo
 
Du nimekuja speed nikajua ameipiga bomu kama walivyo jilipua Arusha kumbe story zenyewe za Shigongo dah.

Leo utabadili ID zote ulizo nazo lakini utashindwa tu...
 
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

Hizo ulizoandika hapo juu ni hoja za kitoto na nna Mashaka na umri wako, kama sio below18yrs, Basi utakuwa unatumika kutetea serikali ya mr dhaifu. Watu kama ww ni janga la taifa.
 
Back
Top Bottom