Katika jambo lisilotarajiwa na wengi, Dr Slaa amepita katikati ya maduka hapa jijijini Mwanza huku akiamsha taharuki kwa mamia ya watu wakitaka kumwona. Dr Slaa akiwa ameambatana na mbunge wa Nyamagana mh Wenje alipata wakati mgumu baada ya kila mtu kutaka kumsalimia. Nimeshuhudia magari yakipiga honi na abiria walikuwa wanashuka kwenye daladala wakikimbilia eneo aliopo. Kesho kuna uchaguzi wa meya wa jiji la Mwanza, yawezekana ujio wa Dr ni mahususi kwa shughuli hiyo.
Mungu saidia mambo yaishe vizuri
Hujaona cha kujadili mkuu?? Ngoja wenye cha kujadili waje thread itajaa kama kifusi. Kwa sada hivi wako hawa tu kwa dakika hizi chache thread imetua hapa. There are currently 15 users browsing this thread. (9 members and 6 guests).sasa hapa tujadili nini?
sasa hapa tujadili nini?
sasa hapa tujadili nini?
Jinsi DR anavyopendwasasa hapa tujadili nini?
kusema kweli hiki chama hakiwezi shika dola kila kukicha mgogoroNimefurahi sana kufika kwa Dr. Slaa Mwanza.Ni muhimu sana ili kurekebisha hali ya hewa.
Kwani umeambiwa na mods kila kitu ni cha kujadili humu mkuu. Hiyo ni taarifa tu. Si unaona wengine wanavyoshukuru kwa taarifa?
Jinsi DR anavyopendwa