Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

Mbinu za kishamba, kufukuza mtu mahali pa kulala ndiyo utazuia mabadiliko?, kwa hiyo kwa kufanya hiyo Dr hakulala? si alilala na kazi ikaendelea. Kichwa cha huyo meneja kina matope, kama kungekuwa na ubongo asingefanya kitendo cha namna hiyo.
 

ni Goliath hapo mkuu.....
 
jamani the one picha yako inanikwaza kweli tena plse plse i beg ooooh itoe.yaani nalegea nikiiiona naishiwa nguvu


HAHAHHAAA acha kunichekesha. anyway naitoa sasa hivi utakuta kwenye my profile. sahv naweka picha yangu na jina langu halisi
 


kama ni watoto na hawakulazimishwa kuvaa nguo za shule wameenda wenyewe Kusikiliza ndio kabisa inaonyesha kifo cha CCM
kwani keshokutwa ndo wapiga kura hawa.... tatizo CCM bado mnaamini wapiga kura ni wazee tu ndo maana bado mna mawazo ya kizamani kudanganya kwenu kwa kizamani... mnahisi kuzuia migomo ndo kuleta woga kwa wananchi, mnahisi ku ULIMBOKA ndo kuweka uwoga wa watu kutokusema kweli...... Mnahisi kupiga makofi Bungeni ndo kuwaonyesha wananchi mnafanya kazi... n mnakubalika.....
 
Hizi hila kwa upinzani watu wanashindwa kujua kuwa hata TANU/CCM walikuwa pia ni upinzani. Waelewe kwamba ipi siku watakosa kuongoza dola, hapo ndipo watakapotia akili!
 
Hao magamba wanajichosha tuu,saa ya ukombozi ni sasa we subiri ..............mhmhm
 
Hujui lolote kijana.
ungejua sababu ya kumfukuza wala usingetema povu

Kwanza mimi sio kijana kutokana na "definition ya kijana" ninavyoielewa mimi. Pili nime-respond kutokana na report niliyosoma/iliyobandikwa hapa; nje ya hapo sifahamu-labda wewe ututajie sababu tofauti na hiyo iliyo-repotiwa hapo kwenye hii habari. Sina haja yakutema povu ndugu, nime-respond kutokana na jinsi nilivyo-view hii issue. Unaweza ukai-view differently pia; ni sawa, sio kila mwenye mtizamo tofauti anatema povu. Ingekuwa busara zaidi ungeelezea mtizamo wako, na kusema hicho unachokijua ambacho hakiko kwenye hiyo habari.
 

sasa usipende kushadadia yale usiyokuwa na uhakika nayo.
Ngoja nkusanye data nije kuweka hapa JF juu ya kufukuzwa kwa slaa
 
sasa usipende kushadadia yale usiyokuwa na uhakika nayo.
Ngoja nkusanye data nije kuweka hapa JF juu ya kufukuzwa kwa slaa

Sielewi unamaana gani unavyosema kushadadia. Post ikiwekwa hapa kila mtu ana haki yakutoa mtizamo wake na jinsi alivyoielewa/soma post ile. Kwavile mawazo ya mtu hayaendani na ya kwako; does not mean someone is wrong au sijui ndio kushadadia. Watu wataamini vipi wewe ndio mwenye uhakika wakati so far; umeishia kutoa ahadi za kuja na data mpaka sasa. Afterall mtu mwenye data huwa hana maneno mengi. Naona wewe nikupuuzie post zako tu from now on-mipasho mingi bila substance huwa nikupotezeana muda- binafsi huwa napuuzia.
 
Tutaanza na huyo manager wa hotel tukiingia ikulu mwambieni aanze kujiandaa tunaweka record za wajinga wajinga kama hawa
 
Inawezekana tunako elekea machafuko yatatokea. Hapa JF watu mna tofautiana je ingekuwa tupo mtaani tunafahamiana si pange nuka. Mie naona kuna haja wana jamii tufunguke tuwe na mitazamo ya kubali upepo wa siasa na kuweka demokrasia nzuri itayo wavutia watanzania wengi kujituma na kuwajibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…