Dr. Slaa afanyiwa hujuma Kalenga

Dr. Slaa afanyiwa hujuma Kalenga

Hujuma siyo hiyo tu.Kuna nyingine ambayo CCm tumeifanya mwanzoni mwa kampeni,nayo ni kuchukua gesti zote hapo mjini ili CDM wakose kwa kufikia Chunguzeni kama kuna gesti ina nafasi hapo mjini na vitongoji vyake
 
mkuu. dr.slaa anafanya siasa za kitoto sana. amezoea kudanganya misukule yake basi anaona watu wote ni wakudanganya tu, huyu mzee apimwe akili

Sana tu mkuu. Nadhani ameenda Iringa kwa madhumuni maalum na si kufanya kampeni za kistaarab. ameona kuwa muziki wa GODFREY WILLIAM MGIMWA akaona kuwa hawezi kuucheza
 
Hakika Mkuu. Kama waliweza kujilipua wenyewe pale SOWETO, ARUSHA, iweje hilo la misumari? kama walijaribu kumuua zitto kwa sumu, watashindwaje kwa hilo? kama wameweza kumuua CHACHA WANGWE, watashindwaje kwa hilo? yapo matukio mengi ambayo chadema inahusika lakini inaruka vihunzi. Dr SLAA na vibaraka wake akina Makene wameona kuwa wameshindwa na sasa wanataka kutafuta sababu za kushindwa kwao

mkuu. chadema ni magaidi. lile bomu la SOWETO lilitegwa na mbowe na lema. ndio maana walikaa mbali na eneo la tukio. maovu ya chadema yanasikitisha sana
 
Hujuma siyo hiyo tu.Kuna nyingine ambayo CCm tumeifanya mwanzoni mwa kampeni,nayo ni kuchukua gesti zote hapo mjini ili CDM wakose kwa kufikia Chunguzeni kama kuna gesti ina nafasi hapo mjini na vitongoji vyake

mji upi mkuu? Halafu hilo la kufikia Guest, kwani makamanda waendapo vitani huwa wanachagua pa kulala? au mmeenda kujivinjari tu kwa kigezo cha kampeni? Makamanda gani nyie walevi na wazinzi?
 
Huku Chadema ikiteka kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga tayari hujuma zimeanza kuonekana mapema leo

Watu wasiojulikana wametega misumari barabarani katika njia ya kuelekea eneo la Mwasa muda mfupi kabla msafara wa Dr Slaa na mgombea ubunge kupita eneo hilo.

Hata hivyo Dr Slaa amechelewa kumaliza mkutano eneo la kwanza hivyo kuchelewa kupita muda ambao wategaji wameweka mtego wao.

Kutokana na sababu hiyo gari nyingine iliyopita njia hiyo imeharibika kabisa matairi yake baada ya kukanyaga misumari hiyo iliyotegeshwa barabarani.

Source Tumaini Makene Afisa Habari Mkuu Chadema.
Acheni unyonge uvumilivu una Mwisho by JK.
 
mji upi mkuu? Halafu hilo la kufikia Guest, kwani makamanda waendapo vitani huwa wanachagua pa kulala? au mmeenda kujivinjari tu kwa kigezo cha kampeni? Makamanda gani nyie walevi na wazinzi?

Unaandika kama umekalia KITU.
 
hao watakuwa ni chadema wenyewe wametega hiyo misumari kutafuta huruma ya wana kalenga, dr.slaa anafanya siasa za kitoto sana, akadanganye misukule yake.

una mtindio wa ubongo si bure, jambazi ni jambazi tu hta maongezi na muonekano wake unatosha kutoa general overview, nyambafuuuuuuuu zenu miccm
 
Hayo yote yanafanywa na makada/maccm kwa huhofia nguvu ya chadema especially Dk Slaa..but wakae wakijua jimbo la kalenga c lao tena,huyo mwengereza waliempandikiza hapo haezi chukua jimbo kwani hata wanakalenga wenyewe wanajua mchezo mzimz ambao ccm wameufanya kuanzia kwa bba mpaka mtto kuwekwa hapo alipo/mgombea wa ccm...naomba kuwasilisha...:
 
Sana tu mkuu. Nadhani ameenda Iringa kwa madhumuni maalum na si kufanya kampeni za kistaarab. ameona kuwa muziki wa GODFREY WILLIAM MGIMWA akaona kuwa hawezi kuucheza

umebanwa na choo kikubwa, mpak unatia huruma angalia usije ukaharisha huku umesimama
 
Hakika Mkuu. Kama waliweza kujilipua wenyewe pale SOWETO, ARUSHA, iweje hilo la misumari? kama walijaribu kumuua zitto kwa sumu, watashindwaje kwa hilo? kama wameweza kumuua CHACHA WANGWE, watashindwaje kwa hilo? yapo matukio mengi ambayo chadema inahusika lakini inaruka vihunzi. Dr SLAA na vibaraka wake akina Makene wameona kuwa wameshindwa na sasa wanataka kutafuta sababu za kushindwa kwao

Mkuu naona unajribu kuibadili bluu kuwa njano
 
Sana tu mkuu. Nadhani ameenda Iringa kwa madhumuni maalum na si kufanya kampeni za kistaarab. ameona kuwa muziki wa GODFREY WILLIAM MGIMWA akaona kuwa hawezi kuucheza

mkuu. hivi ni nani awafanyie hujuma chadema? chadema wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Slaa ahujumiwe na nani? Hana jipya yule

Ni ujinga na upuuzi kumpuuza na kumkebehi Dr. Slaa katika siasa za nchi hii. Mtu unaweza msikia anamponda mtu kama Mzee Mwinyi, Mkapa, Mangula n.k. Ni upuuzi tu huu na kusukumwa na hisia za kijinga.
 
dr.slaa anafanya siasa za kilaghai

Wenzako wameona buku 7 hailipi ukilinganisha na tabu wanazopata ndugu zao ktk kupata huduma muhimu ktk maisha ya kila siku.Wewe umeamua kuuza utu wako kabisa
 
Hii thread imewapa vijana wa Lumumba nafasi ya kupiga buku 7. Wengi kweli hapa!
 
Hivi Hakuna Contena la Kura lililoshikwa Kalenga Mpaka sasa ?
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom