Dr. Slaa afanyiwa hujuma Kalenga

Dr. Slaa afanyiwa hujuma Kalenga

Ritz umemsikia mzee slaa? kuna kipindi alisema ametegeshewa vipaza sauti chumbani, kumbe alikuwa kaviweka mwenyewe! Mzee anajiona tishio kumbe hana lolote!
 
Last edited by a moderator:
Ivi kweli kutafuta umarufu ndio ujiumize ? Cdm naona wameishiwa sera hivi leo hakuna tukiololote lilotokea? Wakipata tukio utawasikia na huyo aliehaidiwa kuolewa hadi sasa hajakata tamaa tu kwani nasikia jamaa anamwamnia bado hawajazoweyana siku zinaenda alia tumaini kuna expayadent
 
Back
Top Bottom