Wampongeze kwa kumpora Dr. Slaa Uraisi? Marekani ni nchi makini siyo kama sisi ambao kwa kofia, fulana na khanga au kibaba cha unga unapelekeshwa kama pia.............By the way, Serikali ya marekani imeshampongeza JK kwa ushindi?
By the way, Serikali ya marekani imeshampongeza JK kwa ushindi?
Wadau kuna jamaa kanihabarisha kuwa leo asubuhi Mh. Dr. Slaa alionekana akipokewa na RSO wa ubalozi wa Marekani pale ubalozini. Bado hajafahamu nini kilizungumzwa katika mkutano huo.
Mwenye habari zaidi atujuze.
By the way, Serikali ya marekani imeshampongeza JK kwa ushindi?
Na akipongezwa mtasema nini.

UN wamempongeza JK hiyo inatosha kabisa
Very right answer, hivi kupongeza kunachukua siku ngapi ina maana Marekani bado inajiuliza ipongeze au isipongeze.Tutajiuliza kwa nini wamechelewa sana kumpongeza?
UN wanamaana basi.....wamempongeza raisi wa Afriganstan bana..........Slaa mambambano bano yanaendelea, hii ni good move kwa upinzani next tie ccm watajifikiria mara mbili mbili
UN wao ni too general kupongeza kwao kunaweza kuwa na maana ya kuendeleza amani ya maziwa makuu, wao huwa hawachagui, yeyote atakayeshinda leo wataipongeza Israel kesho wataipongeza Palestina and vice versa.UN wamempongeza JK hiyo inatosha kabisa
Tutajiuliza kwa nini wamechelewa sana kumpongeza?
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa