godasm
New Member
- Oct 18, 2010
- 4
- 0
Watu wote na hata International observers wameona kasoro nyingi zilizojitokeza katika uchaguzi huu na hata walitahadharisha tume kuhusu kuchelewa kutoa matokeo, CHADEMA walichofanya ni njia nzuri kuonyesha kutoridhishwa na tume ya uchaguzi na hasa Katiba ya sasa na mapungufu yake mengi ambayo sidhani kama chama kilicho madarakani kingekubali chama kingine kiwe madarakani kwa katiba hiyohiyo.