Dr. Slaa aalikwa kwenye kongamano Ujerumani

Huko ujeremani huko kuna jambo,nilipata kusikia huyo jamaa alipeleka vijana hukohuko kuchukua mafunzo na waliporudi mambo hayako sawa nchi hii.
Watanzania kuweni macho sana THIS GUY IS NOT A GOOD MAN AT ALL.
umekosea kidogo tu,mafisadi wawe makini maana dr is not a good man inapofika wakati wa kuwawajibisha mafisadi,na mda huo ukifika,watakiona cha moto.watanzania tumuombee dua mtetezi wetu dr slaa.
 

dhibitisha maneno yako kwa kutupatia vivid examples za missions ambazo zmewahi kufanywa na hivyo vikundi under ccm umbrella!
 
hatutaki mambo ya historia hapa.tunaangaalia kwa sasa huyo mtu yukoje na anafaida gani kwa jamii,historia zina maana ccm.ndiyo maana wakamsimamiha mgombea ubunge wa arumeru kwa kuangalia histori,kwa sababu baba yake alikuwa mbunge,basi na mtoto lazima awe.tunao wengi wanafanya mambo kwa historia nyinyiemu,makamba,mwinyi na wengine wengi.historia inawaua nyinyiemu.shauri zenu.
 
Namsikitikia katibu wetu, ukilinganisha alichokisomea na za wenzake utagundua kuwa ana hali ngumu sana huko.

Tunamtakia kila la heri.

hah..!!SI NASIKIA ANA Phd ya theoloj?a? Amemaliza WAEFESO yote.atawasaidia kuwashauri namna ya kudeal na austerity measure kwani si jirani zao ugiriki wameanza kufa njaa.
TUWAKILISHE VEMA KAMANDA.
 
Nenda Docta katetee wanyonge wa Tanzania


Mbali ya kuwatetea wanyonge wa Tanzania, Daktari pia atazungumza kwa niaba ya Afrika. Maana ukiangalia kwa makini hiyo taarifa hao panelists wanne wamechaguliwa/kualikwa kuwakilisha mabara manne!

CHADEMA...so to say, would be speaking to represent Tanzania and Africa at international forum on "Democracy under pressure/democracy in distress".

 
dhibitisha maneno yako kwa kutupatia vivid examples za missions ambazo zmewahi kufanywa na hivyo vikundi under ccm umbrella!

Unataka ushahidi upi zaidi ya aliotoa Mwakyembe na kwa Mwema? Au unataka wa mauaji ya Prof wa Udsm? Au unataka wa biashara ya Uranium na Iran? Mauji ya Sokoine? Au unataka upi???
 
Namsikitikia katibu wetu, ukilinganisha alichokisomea na za wenzake utagundua kuwa ana hali ngumu sana huko.

Tunamtakia kila la heri.
Kuliko yule Mwenyekiti wetu wa Magamba nasikia Anaenda kwenye sherehe huko Canada sijui kutakuwa na Pilau lazima apigilie lile gauni letu tunalolitumia wakati wa Maulid
 

Ulitaka aende Nigeria kwa Boka Haramu kuongelea Democracy?
 
dhibitisha maneno yako kwa kutupatia vivid examples za missions ambazo zmewahi kufanywa na hivyo vikundi under ccm umbrella!

Unataka ushahidi upi zaidi ya aliotoa Mwakyembe na kwa Mwema? Au unataka wa mauaji ya Prof wa Udsm? Au unataka wa biashara ya Uranium na Iran? Mauji ya Sokoine? Au unataka upi???

Huo ni ushahidi mdogo tu!
 
Kwani Madaktari wote ni Wakristo kwanini waislam wasigome wengi wao ni walimu halafu wana vyeti vya kufoji
 
Hapa kuna connection.hawa watu wa magharibi wagependa sana mynamar atawale mtu wao,ndo maana wamemkingia kifua yule mama SUKI kwa mda mrefu.
Sijui wana interest gani hapo burma.
Wagependa pia kuona venezuela hugo aking'olewa madarakani ili waweke mtu wao.
Kuhusu belarus,its in a strategic area na wamagharibu wanataka nchi zote arround russia to be under their influence in order to use them as a base to contain RUSSIA .
Hapa Tanzania si unajua hawa watu wanavyozikodolea macho resourse zetu wangependa mtu wao ndo akamate madaraka ili wakombe vizuri.
Kumbuka BISMACK ALITOKEA GERMAN .SO hao wajumbe wa panel uteuzi wao kuna KITU HAPO.
 
Best of luck dr Slaa; fursa nzuri kuiambia dunia jinsi CCM inavyoinyonga demokrasia hapa kwetu na harakati za M4C kuleta mabadiliko ya kweli.
 
safi sana....imeshamwona ni kichwa cha democracy hapa TAnzania....mimi cna hofu yeyote na DR wa ukweli namtakia safari njema
 
So popote pale hawa wakina chanselor bismark,ooh i mean angela§Company wanapoona kuna sehemu kuna watu wanaweka kauzibe kwenye vitegauchumi vyao duniani kote huanza kutafuta REPLACEMENT ili waendelee kuchomeka mirija yao.elewa watu kama angela merker,hillaly demon cliton etc wanatumiwa tu na big copration,bankers na indurstrialism kama front kufikia malengo yao.nao wanawatumia viongozi wa kisiasa toka nchi lengwa ili kupata access za resource zetu.
WAKITUMIA KIVULI KINACHOITWA DEMOKRASIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…