Dr. Slaa aalikwa kwenye kongamano Ujerumani

Kwanini Afisa Habari wa chadema, Tumaini Makene anashindwa kuweka wazi Slaa kaalikwa na nani Ujerumani?
 
So popote pale hawa wakina chanselor bismark,ooh i mean angela§Company wanapoona kuna sehemu kuna watu wanaweka kauzibe kwenye vitegauchumi vyao duniani kote huanza kutafuta REPLACEMENT ili waendelee kuchomeka mirija yao.elewa watu kama angela merker,hillaly demon cliton etc wanatumiwa tu na big copration,bankers na indurstrialism kama front kufikia malengo yao.nao wanawatumia viongozi wa kisiasa toka nchi lengwa ili kupata access za resource zetu.
WAKITUMIA KIVULI KINACHOITWA DEMOKRASIA.
 
Pombekali
Unaweza kuwa unanichukia bure sababu tunapishana mitazamo natanguliza msamaha kama nakukwaza lakini ndio maana ya forum mkuu.

naona umekuwa mnyonge...... mpaka 2015 sijui kam JF mtakuwa mnafika maana mtakuwa mnabishana na watu wote
 
So popote pale hawa wakina chanselor bismark,ooh i mean angela§Company wanapoona kuna sehemu kuna watu wanaweka kauzibe kwenye vitegauchumi vyao duniani kote huanza kutafuta REPLACEMENT ili waendelee kuchomeka mirija yao.elewa watu kama angela merker,hillaly demon cliton etc wanatumiwa tu na big copration,bankers na indurstrialism kama front kufikia malengo yao.nao wanawatumia viongozi wa kisiasa toka nchi lengwa ili kupata access za resource zetu.
WAKITUMIA KIVULI KINACHOITWA DEMOKRASIA.
 
Hngera Dr Slaa kupata mwaliko,hopefuly utakuja na uzoefu utakaoupata huko,hope utajifunza pia kutoka kwa washiriki na mwisho utakachokipata huko kitasaidia kuimarisha strategy za kulikomboa taifa hili kutoka kwa wakoloni weusi wakitunuonya chini ya chama chao cha magamba-CCM.
 
So popote pale hawa wakina chanselor bismark,ooh i mean angela§Company wanapoona kuna sehemu kuna watu wanaweka kauzibe kwenye vitegauchumi vyao duniani kote huanza kutafuta REPLACEMENT ili waendelee kuchomeka mirija yao.elewa watu kama angela merker,hillaly demon cliton etc wanatumiwa tu na big copration,bankers na indurstrialism kama front kufikia malengo yao.nao wanawatumia viongozi wa kisiasa toka nchi lengwa ili kupata access za resource zetu.
WAKITUMIA KIVULI KINACHOITWA DEMOKRASIA.
Yule Mwenyekiti Dhaifu inamaana kila anapoenda USA ambako ameenda huko zaidi ya Mbeya huwa anaenda kuwasaidia wakina Bush kuchomeka mirija yao?
 
LOL.....Bado nashindwa kuelewa huyu Dr Slaa amealikwa kama nani kiongozi wa kisiasa au kama muumini wa dini ya kikristo? maana hata JK hualikwa makanisani hapo huwa vipi? nisaidieni maana mi mchanga sana ktk jukwaa hili.

Usiwe mvivu wa kufikiri mkubwa. Kama unaweza kutumia kompyuta yenye mtandao hapo ulipo ilitegemewa ungefanya utafiti kidogo tu online kujua KAS ni kitu gani, kisha ungekuja hapa na maswali mengine bila shaka very constructive...ofcourse it might have been constructive criticism kuliko hizo propaganda za kimagamba ambazo hata wanakijiji siku hizi wanazibeza lakini eti ninyi wasomi wa mjini tena wengine mnajiita a Great Thinker mnaziamini!!!!!!!

Lakini hata hivyo bila shaka umechangia kitu bila kuwa umesoma kwa makini, kitu ambacho kinapaswa kuwa aibu kubwa kwa mwanachama wa jukwaa hili. Soma kwa makini taarifa yote hiyo kwa umma. Ukiamua kuwa mvivu basi soma aya hii;

"Shirika la KAS linatimiza miaka 50 tangu lilipoanza rasmi kujihusisha na ukuzaji wa demokrasia, uhuru, amani maendeleo na haki. Kwa muda wote huo limekuwa likifanya kazi na wadau katika nchi mbalimbali duniani kutimiza malengo hayo tajwa."

Sasa masuala hayo yanawakilisha dini yako yoyote unayoifahamu au ni masuala ya msingi kabisa kwa maendeleo ya watu? Daktari anaiwakilisha CHADEMA kwenda kujadili maendeleo ya watu mkuu.

Labda mtuambie ninyi mnaotembeza bakuli kila siku huko Ujerumani, kuwaomba misaada na mikopo kusaidia bajeti hata ya kulipia mishahara watumishi wetu, jamaa wanapatia mikopo, misaada hiyo kwa sababu ya dini zenu eeeh!!!! Hatukujua. Tumejua sasa kutokana na maswali yenu kama haya!

So popote pale hawa wakina chanselor bismark,ooh i mean angela§Company wanapoona kuna sehemu kuna watu wanaweka kauzibe kwenye vitegauchumi vyao duniani kote huanza kutafuta REPLACEMENT ili waendelee kuchomeka mirija yao.elewa watu kama angela merker,hillaly demon cliton etc wanatumiwa tu na big copration,bankers na indurstrialism kama front kufikia malengo yao.nao wanawatumia viongozi wa kisiasa toka nchi lengwa ili kupata access za resource zetu.
WAKITUMIA KIVULI KINACHOITWA DEMOKRASIA.
 
Usiwe mvivu wa kufikiri mkubwa. Kama unaweza kutumia kompyuta yenye mtandao hapo ulipo ilitegemewa ungefanya utafiti kidogo tu online kujua KAS ni kitu gani, kisha ungekuja hapa na maswali mengine bila shaka very constructive...ofcourse it might have been constructive criticism kuliko hizo propaganda za kimagamba ambazo hata wanakijiji siku hizi wanazibeza lakini eti ninyi wasomi wa mjini tena wengine mnajiita a Great Thinker mnaziamini!!!!!!!

Lakini hata hivyo bila shaka umechangia kitu bila kuwa umesoma kwa makini, kitu ambacho kinapaswa kuwa aibu kubwa kwa mwanachama wa jukwaa hili. Soma kwa makini taarifa yote hiyo kwa umma. Ukiamua kuwa mvivu basi soma aya hii;

"Shirika la KAS linatimiza miaka 50 tangu lilipoanza rasmi kujihusisha na ukuzaji wa demokrasia, uhuru, amani maendeleo na haki. Kwa muda wote huo limekuwa likifanya kazi na wadau katika nchi mbalimbali duniani kutimiza malengo hayo tajwa."

Sasa masuala hayo yanawakilisha dini yako yoyote unayoifahamu au ni masuala ya msingi kabisa kwa maendeleo ya watu? Daktari anaiwakilisha CHADEMA kwenda kujadili maendeleo ya watu mkuu.

Labda mtuambie ninyi mnaotembeza bakuli kila siku huko Ujerumani, kuwaomba misaada na mikopo kusaidia bajeti hata ya kulipia mishahara watumishi wetu, jamaa wanapatia mikopo, misaada hiyo kwa sababu ya dini zenu eeeh!!!! Hatukujua. Tumejua sasa kutokana na maswali yenu kama haya!

Kama utakuwa umesoma michango yangu yote ktk hoja hii nadhani utagundua kukiri utando wangu wa leo, siko vizuri. Tuendelee kuelimishana pasipo kuzimia moyo.
 
So popote pale hawa wakina chanselor bismark,ooh i mean angela§Company wanapoona kuna sehemu kuna watu wanaweka kauzibe kwenye vitegauchumi vyao duniani kote huanza kutafuta REPLACEMENT ili waendelee kuchomeka mirija yao.elewa watu kama angela merker,hillaly demon cliton etc wanatumiwa tu na big copration,bankers na indurstrialism kama front kufikia malengo yao.nao wanawatumia viongozi wa kisiasa toka nchi lengwa ili kupata access za resource zetu.
WAKITUMIA KIVULI KINACHOITWA DEMOKRASIA.

Unaonekana hata hujui unachokiandika. Waliokupatia ile kazi yenu, walikosea mkubwa. Big companies!!!!! Zipi ambazo Serikali ya CCM haijazikaribisha hapa nchini na tayari zinaua watu wetu kila siku.

Au ndiyo unachekelea kazi nzuri mnayoifanya kupitia serikali yenu ambayo imeamua kuwa zaidi ya kuwadi na wakala wa Multinationals. Au ndiyo unachekelea ile kazi mliyowafungia wananchi wetu pale Bulyanghulu kwa kuwazika Watanzania wachimba madini wakingali hai. Kisa mnataka kumpatia mwekezaji machimbo yale. Laana hiyo.

Unafurahia namna makampuni makubwa yaliyopewa fursa ya kupora rasilimali zetu yanavyopora na kuua watu. Mnaendelea kutumiwa na makampuni hayo kuua watu kule Nyamongo, Tarime na kwingine kama Geita, Tulawaka, Nzega.

Vipi unachekelea mabilioni mliyohongwa na makampuni hayo hayo yanayotoka huko huko unakosema kuna udini, ambayo mmeyaficha kwenye akaunti Uswisi. Bilioni 300 zetu mnaiba hata hatujaanza kuvuna gesi na mafuta yetu, je tukianza kuvuna si ndiyo mtageuka kuwa akina Mbotu na Sani Abacha.

Hatutakubali mtufikishe huko with ure shortsighted, myopic and streotype kind of thinking ambayo inaona vitu visichokuwepo kama udini, ukabila na ukanda lakini hazioni uchumi unaokufa, umaskini unaongezeka, maisha yanazidi kuwa magumu (mliahidi maisha bora, kumbe mlimaanisha magumu) ufisadi, ubadhirifu, uzembe, kufa kwa elimu ya watoto wa Watanzania, afya inadorora, utapiamulo unaongezeka, vijana wa Kitanzania hawana ajira, reli imekufa. Yote haya yanapotokea hayachagui dini, kabila wala maeneo ya wananchi wetu. Mwisho wenu unakaribia.

Tukutajie? Usifukue yanayosubiri kufukuliwa wakati mwafaka ukifika. Mkutano wa Sullivan ulifanyika kwa sababu gani? Au huna unachokijua! Akina Sinclair mnahusiana nao kivipi katika deals hapa nchini, akina Bush je niaje mkuu! Alikaa hapa siku ngapi vile, alikuja mapumzikoni eeeh! Unataka zaidi kujua namna ambavyo serikali ya CCM imeamua kutekeleza matakwa ya mataifa na makampuni makubwa ya nje kuuza watu wake?

Huyu ndie dr wa ukweli; anayejua vitu vya ukweli. Sio huyo mr dhaifu wa kupenda kupiga picha na masupastaa wa ughaibuni.
 
YAAAAWN...Hivi jama christian organisation na kusambaza demokrasia wapi na wapi?halafu demokrasia gani hio anayoenda kujadili huyu mtu?NIMESEMA HIO NI SMOKESCREEN TO AMBAYO BEHIND THE SCENE WANAJADILI RESOURCE ZETU.it is just like another berlin conference.
Kwani hayo makampuni yanayovuna saa hizi hapa nchini yanatoka wapi kama sio hukohuko magharibi?..eh?bwana makene so,how ruling elite wa hii dunia ambao ndo hao hao wenye hizo christian organisation WANASHINDWA NINI KUMTUMIA MWANASIASA YEYOTE WANAEMTAKA.
Swali Kwa nini kila mara ni ujeremani?
Mambo ya kuambiana subirini 2015 mtakoma.that is just a POLITICAL WETDREAM YOU A'INT GONNA WIN.
And dont mistake me for a politician please tumain IAM A FREELANCER
 
So baada ya hao akina rothschild,rockfeller,goldmansanchez ,bildesberg ambao ndo ruling elite duniani kuona chama cha cdm kinaleta changamoto ndo zilianza michakato ya kuwaweka karibu JUST IN CASE. Ndo siri hasa ya mahusiano ya christian party cha germany.THE CATCH HERE IS OUR RESOURSE.
So mtu anapokwenda huko kwa kisingizio akaongeze uzoefu wa DEMOCRASIA...AM NOT BUYING THAT.
 
Back
Top Bottom