stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Hapo njaa kali, jicho lazima limtoke Wanasema analala stand ya mnazi mmojaMbona katoa macho hivo kama prof kabudi..
waliokua wanamshobokea kipindi anavuma wamepotea woteSiku moja alihojiwa azam UTV niliona huruma sana aisee
Huyu jamaa amepoteza muelekeo totaly
"Ruzige"
pole zake, wanahabari wamemtumia now wamemtelekeza hata kumsaidia hakunaHapo njaa kali, jicho lazima limtoke Wanasema analala stand ya mnazi mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kile amevuma alikuwa anaselfika na mademu nao washamkimbi? Aisee kweli dunia haiko fair.
So sad[emoji17]Kwa huo msoto wa kimaisha, njaa kali na msongo wa mawazo, siku sio nyingi tutakuja hapa na RIP. Mungu aepushilie mbali hilo.
Huyo jamaa inapaswa atafutiwe kibarua cha kimjini kimjini apate pa kula na kulala ili kumsitiri utu wake.
Kwani kabla ya hapo mwelekeo alikuwa nao?Siku moja alihojiwa azam UTV niliona huruma sana aisee
Huyu jamaa amepoteza muelekeo totaly
"Ruzige"
Eeeh mkuu hata mimi nilisikitika sana, eti analala vibarazaniSiku moja alihojiwa azam UTV niliona huruma sana aisee
Huyu jamaa amepoteza muelekeo totaly
"Ruzige"
We unaonaje?
Akipata pa kulala tu inatoshaKwa huo msoto wa kimaisha, njaa kali na msongo wa mawazo, siku sio nyingi tutakuja hapa na RIP. Mungu aepushilie mbali hilo.
Huyo jamaa inapaswa atafutiwe kibarua cha kimjini kimjini apate pa kula na kulala ili kumsitiri utu wake.