Ni mhayaNajiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake
Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko UrusiTumchangia chochote sisi kama memba wa JF jukwaa la amani na upendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajaweka wazi lakini kama kweli alikuwa analala kama tunavyosikia lazima awe na maladhi mengi sana mwilini mwakeAnaumwa nini comedian wetu.
Tuwekwe wazi alipo tutamsaidia ki individual zaidi.Hawajaweka wazi lakini kama kweli alikuwa analala kama tunavyosikia lazima awe na maladhi mengi sana mwilini mwake
Mkuu ni kweli alikuwa na mabilioni urusi ? ,Ni Dr wa kutibu binadamu ?,naomba uniambie coz naona tu comedy .Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi
Yuko hospitali ya mwananyamala anakula dripuTuwekwe wazi alipo tutamsaidia ki individual zaidi.
Ma Moderators hatuwaamini.
Ok!Yuko hospitali ya mwananyamala anakula dripu