To be honest I feel the same. with the little knowledge I have on people with mental disability, for me this guy is more mentally stable than most people commenting here!!!! that is meeeeee MusumenoI really like the guy, very calm, talks like a gentleman and intelligently, down to earth, i pray that he proves the doubters wrong...
Anabana matumizi akisubiria mnada mwingineSi unajua juz tu kanunua mijengo mikubwa
mzazi wako anaeza kua na akili kama hzo za kujidhalilisha kwenye jamii??
acha kufananisha wazaz wa wengne na mambo ya ajabu
nyie ndo wale wale juzi kjana mmoja huku mtaani akawa anamchana makavu mama mtu mzima kazi yake kujiuza na kutembea na watt wadogo kuna wapumbavu kama ww wakaja eti huyu ni kama mama yako umuheshimu..
acheni ujinga
Muacheni Dr. Apumzike na maisha yake.