Dr Shen yupi? Jamani mimi siyo mbaguzi lakini nasema kweli fitina kwangu mwiko.Sijaona Mzanzibari anaeweza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Salim Ahmed Salim 2005 angeweza ila sasa umri umeenda, huyo ndiyo mzanzibari pekee ambae angeweza kuwa rais wa Tanzania ila waliobaki labda wasubiri kizazi cha tano baada ya kizazi hiki kuotoweka duniani
Habari magazetini Rfa zasema rais wa Zanzibar Dr Alli M. Shein ndiye atakaye mrithi rais Dr.Jakaya Kikwete October mwaka huu.
goigoi+dhaifu=?
Alikuwa makamu wa Mkapa sio miaka kumi alichukua nafasi hiyo baada za kuuwawa Dr. Juma Ali Juma.
Salum Mwalimu je?
kiti cha mwenyekiti wa ccmAnarithi nini?
Alikuwa makamu wa Mkapa sio miaka kumi alichukua nafasi hiyo baada za kuuwawa Dr. Juma Ali Juma.
Mkapa alimuua kwa kumtegeshea sumu kwenye mic bbda ya kujua anataka kulipua uovu ndani ya utawala wake.
wazanzibar wote ni WASAFI na wala hawana makundi,wanaridhika ba walicho nacho na ni wachapa kazi.BORA hata goigoi kutoka zanzibar kuliko MAIPTL kutoka bara. I suport 100%
Yaani akipitishwa tu namimi nagombea maana huyu jamaa nimzigo zaidi ya kontena
Kuuwawa au kufa?
Aliuliwa na nani?
Habari za ndani sana ambazo siwezi kuthibitisha, zinadai huyu bwana alitakiwa kumrithi Mkapa, kwa hiyo njia pekee ya kuifisha ndoto yake ilikuwa ni kumhamisha hapa duniani.
Kwa taarifa zaidi, wasisilina na wanamtandao waliomweka Profesa wa kichina madarakani, wanalijua hili kindakindaki,
kiti cha mwenyekiti wa ccm