1. Ni kweli, Rais au kiongozi wa juu kama Baba kwenye familia anahitaji ka udictator fulani. Ni ngumu pia kumpata mtu mwenye sifa zote
2. Uzuri au tumaini langu kwa Shein ni uwezekano wa kutengeneza timu nzuri. Pamoja na madhaifu, udhaufu mkubwa aliona na ambao unaigarimu nchi ni TEAM CREATION. Na hili ni tatizo kubwa sana kwa nchi za Africa. wakati wenzetu anapopata madaraka anatengeza timu ya kumyanyua.
Hivyo, bado naona anafaa kuliko ambao wanapewa nafasi.
Ni kweli mzee huyu wa utepe yupo cool sana sifa anazo, lakini kiti hicho cha magogoni tokea 2005 kimekuwa kikipatikana kwa mbinu na umafia wa hali ya juu, swali je atahimili, kwa mtamo wangu Dr Salim si mchafu kiasi alichochafuliwa 2005Inaelekea Shein ni mkimya sana. Makamo wetu wa raisi huyu kwangu mimi ndiye ninayeona anayefaa kuongoza nchi 2015. Hayupo kwenye spotlight sana kama viongozi wengine wakuu. Katika viongozi tulionao mimi naona huyu mzee ni moja kati ya waliyo bora maana haendekezi siasa za jukwaani. Sijui kwa nini yeye hatajwi kati ya moja ya watu wanaoweza kumrithi JK, labda mwenyewe hautaki uraisi. Ukilinganisha na viongozi wengine wanao tajwa tajwa sasa mimi naona so far namsupport Shein for 2015.
Sababu zangu ni zifuatazo.
1.Hajaonyesha tamaa wala uchu wa madaraka.
2.Hana skendo yoyote kubwa anayo tajwa kuhusika.
3.Haelekei kuwa na makundi
4.Ni mpole na hapendi spotlight kitu ambacho kinaweza kuashiria he is all action and no talk.
5.Tetesi niliyo sikiaga ni kwamba 2005 Kikwete alikua na mgombea mwenza wake mwenyewe lakini baada ya majadiliano wakaona kwamba Shein ndiyo anafaa kuwa kwenye tiketi ya chama.
Sijui kama mwenyewe ana ndoto za 2015 lakini kwenye kundi la sasa yeye anaonekana kufaa kuliko wenzie. Wanaweza kutokea wengine wanaofaa kabla ya 2015 ila kwa sasa nimemuona huyu. Haya ni maoni yangu tu wakuu sijui nyie mna semaje.
Ok mkuu kwa hiyo unaona anayefaa yuko nje ya serikali mkuu? Na kama siyo Shein kwa sasa unaona nani mwenye muelekeo wa kufaa kumpokea JK? Kwa sasa mimi naona upinzani kuchukua ni ndoto labda yatokee mabadiliko ya ghafla na ya uhakika otherwise yoyote tutake ishia kumchagua atakuwa ndani ya serikali au CCM. Hapa tuna badilishana mawazo tu ndiyo niya ya thread.
Ni kweli mzee huyu wa utepe yupo cool sana sifa anazo, lakini kiti hicho cha magogoni tokea 2005 kimekuwa kikipatikana kwa mbinu na umafia wa hali ya juu, swali je atahimili, kwa mtamo wangu Dr Salim si mchafu kiasi alichochafuliwa 2005[/Q
SI MPAKA WALIOMCHAFUA WAMFUTE? SI BADO WAPO WALIOMCHAFUA?WATUBU AND THEY SHOULD STATE OTHERWISE.
kama mnadhani hii ni nchi ya kuongozwa na waislamu kwa kupokezana, mtaona. kura zitaamua