Engineer Mohamed
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 451
- 9
Kwani Kikwete amepatwa na udhuru gani? I mean yuko wapi kwa sasa maana haya mambo yanatuchanganya.
Na mkutano wa dharura Zambia alikwenda pia?
Baadhi ya sponsors wa Diaspora forum wamejitoa baada ya kusikia JK haji. Walikuwa wanategemea publicity na kupiga picha na JK.
Inasemekana pia kuna Wahindi wengi waliomba ubalozi ili wakutane na JK, baada ya kuona ni Shein, wakaomba majina yao yaondolewe.
Shein kaambiwa, lakini yeye kasema kwanza huwa hataki kukutana na watu wa namna hiyo maana wanatanguliza interests zao mbele.
Hao ndio aina ya watu ambao Watanzania tuna deals nao. Shein ni makamu wa rais, lakini wao wanaona biashara ni kuonana na JK tu.
Inaelekea hata ubalozi umechukizwa na vitendo hivyo. Huenda huko mbele ni wale wavumilivu, waliokubali kuendelea kushiriki kwenye forum hata baada ya kusikia JK haji ndio watapewa nafasi huko mbeleni ya kuonana na JK
Habari zingine zinasema, Shein kawaambia mawaziri na wasaidizi wengine ambao alikuwa nao Denmark warudi TZ maana hawana kazi za kufanya London. Hataki waendelee kuunguza pesa za walala hoi.
Huyu Shein kakaa na fisadi Mkapa lakini hakuna hata tope moja lililo mrukia, inaeleke jamaa ni msafi mno. Ndio maana matapeli wa London wanaona
hakuna deal.
Mwana JF, Yebo Yebo, kesho ana nafasi kubwa kwenye forum, wana JF jiandaeni mkao wa kula.
Ndio hayo tu wakuu kwa leo.
Kwa nini MKAPA (Che-nkapa) alipoacha madaraka aliwasihi wana CCM wenzake wamwache Shein aendelee kuwa makamu wa rais? Je, walikuwa na deal gani pamoja?
Baadhi ya sponsors wa Diaspora forum wamejitoa baada ya kusikia JK haji. Walikuwa wanategemea publicity na kupiga picha na JK.
Inasemekana pia kuna Wahindi wengi waliomba ubalozi ili wakutane na JK, baada ya kuona ni Shein, wakaomba majina yao yaondolewe.
Shein kaambiwa, lakini yeye kasema kwanza huwa hataki kukutana na watu wa namna hiyo maana wanatanguliza interests zao mbele.
Hao ndio aina ya watu ambao Watanzania tuna deals nao. Shein ni makamu wa rais, lakini wao wanaona biashara ni kuonana na JK tu.
Inaelekea hata ubalozi umechukizwa na vitendo hivyo. Huenda huko mbele ni wale wavumilivu, waliokubali kuendelea kushiriki kwenye forum hata baada ya kusikia JK haji ndio watapewa nafasi huko mbeleni ya kuonana na JK
Habari zingine zinasema, Shein kawaambia mawaziri na wasaidizi wengine ambao alikuwa nao Denmark warudi TZ maana hawana kazi za kufanya London. Hataki waendelee kuunguza pesa za walala hoi.
Huyu Shein kakaa na fisadi Mkapa lakini hakuna hata tope moja lililo mrukia, inaeleke jamaa ni msafi mno. Ndio maana matapeli wa London wanaona
hakuna deal.
Mwana JF, Yebo Yebo, kesho ana nafasi kubwa kwenye forum, wana JF jiandaeni mkao wa kula.
Ndio hayo tu wakuu kwa leo.
Huyu Mzee stand to be clean sijui kama kuna mtu ana issue za madeal yake, as far as i know this man is clean pampja na kukaa na mlafi wa mali za umma Che nkapa
mkuu field Marshal hii argument ya mzee Shein naikataa kabisa. yeye hapo alipo yupo katika line ya kuwa prizidaa wetu. at any time T yeye anaweza kulikwaa rungu kwa mujibu wa katiba, kama alikataa uraisi kwa hoja ya kwamba atawafanya nini mafisadi sasa kwa nini akubali umakamu wa Raisi?.Waliporudi, waliamua huyu mkulu aendelee, sababu muhimu ni kwamba hana makuu wala ambitions za urais, kwa sababu aliombwa na mapema na baadhi wakulu achukue fomu ya urais akakataa kata kata, tena kwa very strong arguments, moja wapo ikiwa ni yeye atawafanya nini mafisadi, hasa wa kutoka bara ambao wamekuwa wakijifanyia wanachotaka in all their political career, akawauliza yeye ni nani wakuja kuwasafisha, ndipo kwa mara ya kwanza alipojiwekea heshima nzito sana na wakulu, ndio maana mpaka leo bado anasimama akiwa clean na with more moral authority, ingawa huwa hasemi kabisa kwenye vikao muhimu.
Wote tunajua ..viongozi toka Pemba sikuzote huwa ni SAFI
hivi mnamkumbuka mzee IDRISSA ABUL WAKIL aka BABU?
hivi familia yake inatunzwa au ndio wameachwa tuuu