sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Hayati Baba wa Taifa , ktk moja ya hotuba yake alikemea vikali viongozi kutoiheshimu katiba. Najiuliza saaana baada ya kusikia hotuba ya Rais M Shein ktk hotuba mara baada ya kuapishwa , kuwa atailinda katiba na hatokuwa na mchezo kwa tule atakayeichezea amani ya Nchi. kwa hili la pili naamini, lkn kuhusu Katiba nina wasiwasi kwani yeye na chama chake ndio wameonyesha wazi kuwa katiba kwao si kitu zaidi ya mamlaka,na hiyo nguvu ya kuilinda itatoka wapi wewe ukiongoza kutoiheshimu............?