"DR" Shayo the plagiarist

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
898


Kuna kipindi kulikuwa na thread humu iliyomtuhumu Dr Shayo kuwa ni Plagiarist aliyebobea na kuna watu waliquestion mpaka authenticity ya kuitwa "Dr"

Well...Juzi kamwaga article kule Michuzi Blog ( JF hatii mguu maana huku kuna wale arm chair critics ambao they enjoy nothing but kunyambua makala kama za akina Shayo). Jamaa aliandika article Michuzi on Libya kumbe si yake na haku acknowledge source

Sasa wenye article yao ni gazeti hili la Egypt wamescan wakakuta kuwa huyu Dr wa Michuzi alinyofoa article kwao bila kutoa reference:



Nimeona bora niiwahi kabla Dr wa Michuzi hajaamka akaomba iondolewe katika ile style ya kuchomoa kama anazofanya Mange kwenye blog yake kule.

nimeshindwa ku copy na kuleta hiyo allegation humu lakini mwenye uwezo naomba awahi kabla Michuzi hajaifuta.

The conspiracy in me kinda thinks hii ni set up ya the other dude by the name of JOHN MASHAKA


article aliyoiiba SHAYO hii hapa:

http://weekly.ahram.org.eg/2011/1036/op174.htm

na akaenda kuibandika michuzi hapa:


http://issamichuzi.blogspot.com/2011/03/democracy-at-barrel-of-gun-doesnt-work.html#comments


Al Ahram wenyewe naona kuna SNITCH kaenda kuwaaambia kuhusu huu wizi wanataka maelezo toka kwa michuzi hapa:


http://issamichuzi.blogspot.com/2011/03/authenticity-of-article-dr-shayo.html

kwa kuongezea tuu ni kuwa in 2008 alishawahi kuchambuliwa vilivyo hapa JF kwenye thread iliopo hapa:

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/21236-dr-hildebrand-shayo.html


kwenye ile thread inasemekana mwenyewe au mtu wake wa Karibu alikuja kuweka records sawa na kumwaga wasifu wake kwa kusema hivi:





jamani kama reference yake ni Dr NCHIMBI then we have a problem kwa sababu Nchimbi naye PhD yake jamaa wamei question sana



 
lol, huyu bwana na enzake akina Maropeee ni walewale..ukisema utaambiwa unakijicho..
 
nimepitia hizo links, inasikitisha, amefanya watu kwenye blog ya michuzi wampongeze na kumsifu kwa contributions zake kwenye jamii na bara la afrika..duh, itabidi aombe msamaha.

huyu jamaa (Dr) na yeye anasikitisha sana, watu wana plagiarize sana tena, lakini sio ku copy na ku paste article nzima, watu hua wanachomoa angalau ideas au lines kadhaa...

hii aina ya plagiarism inaonyesha kwamba huyu jamaa hana kabisa uwezo wa kufikiria hata kidogo mpaka kashindwa hata kubadilisha maneno!
 

I never have rated Michuzi blog owner, contributors plus wachangiaji wake that high anyway
 

hayo ndiyo yanaitwa makanjanja.

Degree za kuangalizia. PhD za kuangalizia.
 
My friend, this is common problem in Tanzania, people dont know the meaning of the word 'plagiarism' not alone the consequences!

Some say there is no plagiarist in third world! He belongs to this world!
 
Nimecheka sana kusoma some of the comments from the groupies kule kwa Michuzi..kha!
 
Kuna mtu ana waasa warudi Tanzania kwa kuwa hawaitendei haki nchi yao kubaki huko kutokana na michango yao..duh!

Nimecheka sana kusoma some of the comments from the groupies kule kwa Michuzi..kha!
 
Heading tu mie hoi! Dr Shayo Cautions Western Powers

Hahah this dude isn't real.


AIBU KWANI KIDOGO???

jamaa anatia kinyaa aisee, ni bora kukaa kimya kuliko kujilimbikizia umaarufu wa kuiba
 


yani siamini hata kama hivyo vitabu hapo amesoma , au hata kama anajua jina lakitabu anachokisoma, inanifanya niamini hiyo picha amepiga ili aaminike zaidi kwamba ni intellectual wa naman fulani....
 
Kitabu kimoja hapo kinaitwa INSULTS. I bet it didn't mention how insulting it is to be caught plagiarizing!



yani siamini hata kama hivyo vitabu hapo amesoma , au hata kama anajua jina lakitabu anachokisoma, inanifanya niamini hiyo picha amepiga ili aaminike zaidi kwamba ni intellectual wa naman fulani....
 
John nashukuru kwa mchango wako mkubwa sana nimepitia hizo wavuti zote kwa kweli inaonyesha madoctor "PHD" wa kitanzania walivyo na ni jinsi gani hatufikirii mbali. that plagiarism is the best of its kind on part of Shayo. au huyu bwana ni Human Doctor sababu lazima wa copy na kupasate la sivyo mtu atakufa kwa matibabu yasiyo sahihi
 
Dr. Shayo has ZERO credibility. He's a cheerleader for the thinking impaired. Nothing more- Pathological people pleaser disconnected from knowledge and principle.
 
Dr. Shayo has ZERO credibility. He's a cheerleader for the thinking impaired. Nothing more - A Pathological people pleaser disconnected from knowledge and principle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…