"Dr" Shayo kuwania ubunge wa Afrika Mashariki!

Akale London South Bank Uni. huko....

Halafu siku hizi Tanzania kuna ma "Dr" wengi sana. Yaani humo serikalini ndo usipime kabisa! Raisi ni dokta, makamu wake ni dokta, raisi wa Zenji ni dokta, bado Pinda tu! Naye muda si mrefu atakuwa dokta.

Kwenye baraza la mawaziri ndo balaa. Nadhani karibu robo tatu nzima ya mawaziri na manaibu wao wote ni madokta.

Ni sawa sawa na TANESCO.... kuanzia mfagizi wote ni unasikia Eng fulani...lakini utendaji sifuri......BTW Komba nae anatafuta Udaktari
 
This is the kind of stuff we don't need. If you are a first class material you don't need to plagiarise. What is the need of plagiarism to get a good degree when you know very well you can't perform when given the chance?.

Hata DESA ni plagiarism, ukilichukulia kwa mantiki yake. Watu wanapiga madesa harafu wanamwandama huyu jamaa.
 
Ukichunguza sana utagundua kwamba supposedly top Scholars wengi wa Kitanzania ni feki na plagiarists wakubwa. A great majority of 'em, are just cheats! Binafsi namfamu mdada mmoja tumesoma naye Form 5 & 6, ambaye alifanikiwa kupata full scholarship at some Ivy League College na hatimaye kusomea udaktari wa hali ya juu kwenye leading universikty in the UK. Baadaye nikagundua kumbe ali-copy-and-paste final essay yake nzima ya Form 6, na hivi sasa anapeta na ni daktari bingwa. Ndiyo hao kina "Dr." Kigwangalla, akiulizwa atoe mifano ya scholarly works zake, anakuja na papers alizo-collaborate na wasomi watatu hadi watano. No wonder wote wanakimbilia kwenye Siasa kwani fani wanazodai kuwa mabingwa kiukweli hawaziwezi.
 
Acha chuki zako wewe Dr. Kigwangallah kushirikiana na kuchapisha paper na wengine ni most welcome move kwenye academics FYI..

Wewe una paper gani? tuanze kuku assess..zungumzia wapuuzi wenu wale wanaosomaga Japan christian whetever? sio watu kama Dr. Kigwa..lol
 
Kamuulize "hero" wako kwa nini asomee udaktari miaka 7, na baadaya ya hapo achukue shahada ya uzamili miaka 2 na madudu mengine kibao ya kisomi anayodai kuhimili, halafu aishie kuwa "mbunge" mwenye uchungu wa umaskini wa constituents wake kiasi kwamba ankuja humu na kuanza kulialia eti hawezi kulala usiku kutokana na "jinamizi" za umaskini wao, huku yeye mwenyewe akiendesha Range Rover Vogue ya pesa za Walipa Kodi na kuishi kiujanjaujanja kutumia hela za Walipa Kodi alizokwapua kupitia so-called "Stimulus Package".
 
nani huyo Slaa? nini; duh kumbe hata phd ya kanuni za kuendesha misa ilimchukua miaka saba? kweli kiazi aisee
 
Mwambie Hamisi aache kutujazia nafasi kwenye server akijifanya ana machungu na mfumo mbovu wa afya Vijijini wakati yeye kama "daktari" mwenye M. Phil. kazi yake imebakia kupiga domo tuu Bungeni na hoja za level ya Mwanafunzi wa Darasa la Nne, na baada ya hapo kutokomea kwenye Range Rover Vogue kuelekea kasri lake vyote vikiwa vimelipiwa na kodi ya hao anaodai kupata ""majinamizi" usiku na kukosa usingizi kutokana na umaskini wao.
 
I see..... kuna mtu humu hawezi kufikiri nje ya dini!! huyu ni wa kumuonea huruma bure, ni maamuma!!
 
Mwambie Hamisi aache kutujazia nafasi kwenye server akijifanya ana machungu na mfumo mbovu wa afya Vijijini wakati yeye kama "daktari" mwenye M. Phil. kazi yake imebakia kupiga domo tuu Bungeni na hoja za level ya Mwanafunzi wa Darasa la Nne, na baada ya hapo kutokomea kwenye Range Rover Vogue kuelekea kasri lake vyote vikiwa vimelipiwa na kodi ya hao anaodai kupata ""majinamizi" usiku na kukosa usingizi kutokana na umaskini wao.

Wewe unanipa kazi hiyo kama nani?
 
Tatizo la siasa za bongo........... people like JK made every Tom, Dick and Harry think that they can be president!!! Kabourou and the likes made every pussy, cat and doll believe that they deserve a chance

Only concern is "Dr's Credentials"
 
Mwambie Hamisi aache kutujazia nafasi kwenye server akijifanya ana machungu na mfumo mbovu wa afya Vijijini wakati yeye kama "daktari" mwenye M. Phil. kazi yake imebakia kupiga domo tuu Bungeni na hoja za level ya Mwanafunzi wa Darasa la Nne, na baada ya hapo kutokomea kwenye Range Rover Vogue kuelekea kasri lake vyote vikiwa vimelipiwa na kodi ya hao anaodai kupata ""majinamizi" usiku na kukosa usingizi kutokana na umaskini wao.
well said dude

and he cant even know what are his priorities in life... today he wants to quit politics, tomorrow he wants to join jumuiya ya wazazi etc

of late CCM made all circus people believing all politics is like a little circus/fete near funcity!!
 
............and heey, JK fought for over 15 years to be a president kwa propaganda and not merits, maybe thats they way it is in our politics; we usually dont ask anything else that just propaganda
 
Mh! Plagiarist but kumbe addictive plagiarist ! Duh! But ni kweli unayosema haya Mwanamalundi au unamsingizia?

Habari zilizotufikia kutoka kwa kachero wetu zinaeleza kwamba Dr.Shayo amepigwa marufuku kusimamia utafiti wa wanafunzi wanaosoma shahada za uzamili na uzamivu. Miongoni mwa wahanga wa sakata hilo ni bwana prosper honest ngowi, mwanafunzi wa shahada ya uzamivu pale chuo kikuu huria cha tanzania.
 
Back
Top Bottom