We ndio unatunywesha sumu ya Taarifa ambayo huna uhakika nayo, Sema kama hiyo taarifa hukutoa kwenye habari za Uganda? Kalete chanzo kingine tofauti na Uganda.Napitia pitia habari naona Waziri wa Mambo ya Nje was Rwanda kala sumu na anaweza kufa muda wowote
Kusema museven mwamba wa Africa masharik au