Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Pumzika kwa amani DR Mvungi, umelipigania Taifa hili lipate katiba mpya, itapatikana ukiwa huko nasi, Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani. Amin
Rip dr mvungi!!hii dhambi itawatafuna chadema mpaka mwisho wao!!na Mungu atawaumbua wote
Rip dr mvungi!!hii dhambi itawatafuna chadema mpaka mwisho wao!!na Mungu atawaumbua wote