Dr Sebi - Remedial Health (full)


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000Dr Sebi breaks down all the healing systems and how they aren't consistent with black people. Introduces the African Bio Mineral Balance. Also talks about garlic & carrots not being good for us.
www.drsebi.com
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000 
Last edited by a moderator:
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Points
1,250
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 1,250Dr Sebi breaks down all the healing systems and how they aren't consistent with black people. Introduces the African Bio Mineral Balance. Also talks about garlic & carrots not being good for us.
www.drsebi.com
Maalim Mzizi, I know Dr. Sebi personally. Very good person, believe me
 
Last edited by a moderator:
Jidu

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
1,179
Points
1,500
Jidu

Jidu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
1,179 1,500
Nimejaribu kufuatilia Mafundisho ya huyu Mganga(Dr) Sebi na pia kupata maoni juu ya vyakula mbalimbali tunavyotumia,nakukuta tunatumia vyakula ambavyo tunaaminishwa kuwa ni salama kwa mfano matumizi ya Ngano, inasemekana ngano hii tuitumiayo ipo tofauti kabisa na Ngano iliyotumika miaka 50 iliyopita kwani ya sasa ni fupi kwa futi 2 na nusu.

Hii ya sasa imekuwa "Hybrided" na sio kuwa "Genetical Modified" na hivyo kupoteza uhalisia wake na kuifanya kuwa "Acidic" na sio "Alkaline" kama ilivyokuwa huko mwanzo na hii inatokana na Mwanadamu kutaka kuwa na mavuno mengi kwa kiasi kidogo cha Ardhi na kutaka kuwa na mimea inayovumilia ukame na magonjwa na hivyo kupelekea kubadili mfumo na uhalisia wa mbegu ili kufikia kile kinachotarajiwa."Hybridization" hubadilisha mfumo wa ukaaji wa mbegu kiasili na kuufanya kuwa na ukaaji au uumbaji tofauti bila kubadili "gene" na hutumia njia tofauti kufikia hapo kwa kutumia mionzi na sumu hatarishi ambazo hutoweza kuziepuka hata kama utaamua kutumia ngano isiyokobolewa ama kukobolewa.Huu mfumo mwingine wa kubadili Kinasaba"Genetical Modified"ni hatari zaidi kwani hubadili uumbaji wa asili wa mbegu kwa kuondoa vinasaba vya asili na kuweka vingine vipya.

Mfano halisi wa maelezo hapo juu ni mfano kuwa ukivuta sigara ambayo haina kichuja moshi"filter" unapata madhara ila yenye kichuja moshi huwa haina madhara kitu ambacho si sahihi vyote viwili vinaathari kwenye miili yetu.Sasa si kwa ngano tu tuna Mpunga,Mahindi na aina nyingi za nafaka ambazo zinalimwa kwa kufuata mifumo hiyo miwili hapo juu.
 

Forum statistics

Threads 1,295,830
Members 498,404
Posts 31,224,539
Top