Dr Samuel Mnzava ni Tapeli - Jihadharini!!

Dr Samuel Mnzava ni Tapeli - Jihadharini!!

pamoja na tahadhari lakini atapata hapo hata wawili watatu watakaoingia mkenge
 
La msingi ni kwamba, hakuna mtu anayetozwa fee kufanya interview kama ndiyo imeanza hivi karibuni basi tuelimishane
 
Kuna Jamaa anajiita Dr Samuel Mnzava, aliweka matangazo ya kazi na baadae ametumia watu email inayosomeka hivi:

Dear Sir/Madam,

Kindly be informed that we are a newly TCU registered universityin Tanzania located at Kimara Mwisho along Morogoro road - Dar es Salaam, on the due reason that we don't have our own staff we have decided to hire interview panel to sanction the recruitment exercise. For that reason you are asked to deposit the T.shilling twenty thousands a non refundable as interview fee to TANZANIAINTERNATIONAL UNIVERSITY at CRDB Bank, Account No: 0150315938200,

Please send/bring the copy of your Bank slip to TIU Main Campus- Kimara or email to: smnzava@yahoo.com

we thank you again for showing interest to work with TIU.

With Regards,

Dr. Mnzava, PhD
VICE CHANCELLOR - TIU



Swali la msingi la bishankara ni kuwa utapeli wa huyu dr uko wapi? maelezo yanayotolewa na wachangiaji wengi hayajibu swali hili. Ushauri wangu ni kuwa katika kuthibitisha kama kweli huyu dr ni tapeli ni vyema wahusika wote (walioitwa kwenye interview) wakafika pale TIU ili kuthibitisha kama hiki kitu kipo au la kwani kama ni uongo inaharibu sifa ya chuo. I believe chuo (TIU) kitakuwa kimepata taarifa hizi kupitia mtandao huu kwani si mara ya kwanza kuona post ya aina hii humu JF.

Soma vizuri hilo tangazo mkuu..... TSh.20,000 ya nini????????
 
Kama watu walikwapua ela ya JK ya kutesea angani watashindwa kwa watz wa kawaida
 
Na namba yake 0767-011344 iko hewani na nimatest kwa mpesa ni Dr. Samwel Mzava!!! Ila kweli ni uhuni!! Hebu wenye nafasi wafikishe hii issue polisi!! Je kuna Tanzania International University Kimara? Sijawahi kuisikia kamwe!! Ona jinsi ambavyo mtu anaweza kujisajili mpesa kwa jina fake na id fake!! Ha ha ha!!! Matapeli ni wasomi wa PhD kabisa!

kwa hiyo kama wewe hujakisikia maana yake hakipo?
Jaribu kufanya utafiti japo kidogo
 
Kama interview wana charge je mkiajiriwa si mtadaiwa mpaka hela ya kuchangia mshahara
 
deadline ya kazi ni kesho tayar watu wameanza kuitwa interview huo ndo utapeli live kama hela zakuwasha ww wape tu
 
Kuna wakati nilisikia Wapopo wanaongoza Africa kwa idadi ya vyuo vikuu.....vingi vitakua ni vya aina hii.....
 
Ukipewa kazi hapo utaombwa uchangie chaki na madawati! Inakera haswaa
 
hivi huyo mzava ni yule wa ifm au ni mwingine?
 
Hiki chuo kipi hapa jirani na ninapoishi na wamenunua nyumba nyingi jirani hapa kupanua chuo. Mambo mengine ya ndani sijui ila uwepo wa chuo upo haina ubishi na nimeona wanatangaza course mbalimbali kwa intake ya kwanza kwenye vyombo vya habaru

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hivi huyo mzava ni yule wa ifm au ni mwingine?
sidhani kama watakuwa wale wakina mzavas wa ifm!
maana kuna dr emmanuel mzava na dr bernard mzava hawa wote wa finance department IFM, sasa huyu mwingine anjiita samwel mzava
 
Niliwasiliana na mtu huyo anayejiita Dr.Mzava na nikajaribu kumuuliza baada ya kupokea emali hiyo ila akaendelea kunuhakikishi sasa wasiwasi wangu ni kwamba kama kwenye interview nalipia basi hawa jamaa ni feki na wala si watu wanaoweza kuaminiwa.inawezekanaje mimi natafuta kazi halafu natakiwa kulipia interviwe huu ni uhuni mkubwa.
Huu utaratibu ni wa kuhoji haijawahi kutokea sehemu yoyote duniani na kama ndio hivyo ina maana watu wote wataitwa ili kuhakikisha kwamba wanapata fedha nyingi za kuzungushia uziop pale chuoni.Nilimtuma mtu mmoja aliyeko pande hizo aangalie hiki chuo akaniambia ni kweli kipo na kinawanachuo wengi wa certificates
 
kwa ustaarabu wa sasa ni kuwa mtu anayeitwa ktk interview ndo anayelipwa..... sasa hii ya huyu dr, kweli inatia mashaka sana.....vizuri watu wachukue tahadhari za kutosha.
 
Na namba yake 0767-011344 iko hewani na nimatest kwa mpesa ni Dr. Samwel Mzava!!! Ila kweli ni uhuni!! Hebu wenye nafasi wafikishe hii issue polisi!! Je kuna Tanzania International University Kimara? Sijawahi kuisikia kamwe!! Ona jinsi ambavyo mtu anaweza kujisajili mpesa kwa jina fake na id fake!! Ha ha ha!!! Matapeli ni wasomi wa PhD kabisa!

Chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa au vyumba vinane kwa wle waliofika maeneo hato.
Na jengo la gorofa kama tano hivi (yasemekana la katibu mkuu kiongozi mstaafu awamu za nyuma)mbalo
lilikuwepo for a long time kama vile lilitelekezwa na sasa limekarabatiwa liko shwari.
So wamewekeza na wako kwa business na waachwe wafanye biz. Nyie mnataka tu musikie Kampala na
kenyata university wanadominate ilhali wazawa wapo na wanaweza kutuinua?
Waachwe wafanye biashara hata kama wanatoza fee 4 interview. Hiyo bomba tu kuscreen wale wanaopenda penda
kutest CV zao kama ziko live au la
 
Gaddam i thought ni dr ninayemjua i was shocked...anyway poleni
 
Back
Top Bottom