Mzee Komandoo ni kweli anamatatizo ya macho na matatizo yake ni presha ya macho ambayo huleta upofu na hii hakuna cha India wala nchi za ulaya watakao weza kutibu upofu wake hiyo ndo imetoka, kwa hiyo Mzee Salimin Amour hana tena macho ambayo yanaweza kuona tena, pia huu ugonjwa wa presha ya macho ni wa ukoo kwani kuna mtoto wake mwingine anamatatizo ya presha ya macho.
Kwa hiyo ni kumuombea tu Mungu basi lakini hakuna Miujiza wa kuweza kuona tena.