Elections 2010 Dr Salmin Amour hali ya afya yake naona siyo

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.
 
Hata mimi nimemuona akijikongoja kutoka VIP section akiteremka kwenda katika gari alilopangiwa - inasikitisha. Natumai serikali itamtibia kat hospitali zetu nchini au hata nje.
 
Hata mimi nimemuona akijikongoja kutoka VIP section akiteremka kwenda katika gari alilopangiwa - inasikitisha. Natumai serikali itamtibia kat hospitali zetu nchini au hata nje.

Hata mimi naona kwa hali ya sasa JK atamtibia hapa hapa nchini sio kama alivyompeleka Mrema India. Tumtakie afya njema.
 
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.

Habari za afya yake zipo zamani.Mungu kampa upofu.
Au wewe umemuonje shemegi yako kwenye hiyo picha?.
Alikuwa akipapasa au alikuwa akichechemea?
 
Mzee Komandoo ni kweli anamatatizo ya macho na matatizo yake ni presha ya macho ambayo huleta upofu na hii hakuna cha India wala nchi za ulaya watakao weza kutibu upofu wake hiyo ndo imetoka, kwa hiyo Mzee Salimin Amour hana tena macho ambayo yanaweza kuona tena, pia huu ugonjwa wa presha ya macho ni wa ukoo kwani kuna mtoto wake mwingine anamatatizo ya presha ya macho.

Kwa hiyo ni kumuombea tu Mungu basi lakini hakuna Miujiza wa kuweza kuona tena.
 
Back
Top Bottom