Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.
Hata mimi nimemuona akijikongoja kutoka VIP section akiteremka kwenda katika gari alilopangiwa - inasikitisha. Natumai serikali itamtibia kat hospitali zetu nchini au hata nje.
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.