Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 661
Inategemea alianza standard 1 lini. Na hii inategemea na familia kama iko pia unaenda ukiwa mdunchu. Kuna vijana wako chuo katika umri wanapaswa kuwa secondary advancedWatu wengi waliozaliwa mwaka 1987 wamemaliza form VI kati ya mwaka 2008 na 2009.
Ina maana hawa wakati wanaenda chuo kikuu mwaka 2009 wakamkuta mwenzao waliyezaliwa mwaka mmoja akiwa mkufunzi.
TISCO lilikuwa shirika la umma, TANZANIA INDUSTRIAL STUDIES AND CONSULTING ORGANISATION.TISCO ni nini kaka?
Poleni wafiwa !Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#View attachment 3300762
Mtoto wa 1987 kufika 2019 ana PhD? Wenye wivu watadai digrii za chupiPoleni wafiwa !
Alibahatika kuacha mtoto?Anazikwa kesho ununio.
Kafa mdogo
Afu mme wake alikuwa anaishi ulaya.
Inavoonekana alikua kichwa sn, ndo wale uwa wanabakizwa baada ya ufaulu mzur snAkiwa na miaka 22 alijiunga na UDSM kama Mkufunzi Msaidizi.
Miaka hiyo siku hizi wasichana wanawaza kudanga na baba zao.
Namjua vizuri huyu dada, wakati nipo COict huyu dada ni jembe, poleni sana madokta wengine mliokuwa nayeKinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#View attachment 3300762
Walikuwa wanakula hela za bure za misaada ya wazungu, walivyochokwa wakaja kivingine na TIRDO pale bondeni ambako walikuwa na eneo kubwa, sasa wanapiga dili ya kuuzauza viwanja maana eneo limekuwa hotcake....TISCO lilikuwa shirika la umma, TANZANIA INDUSTRIAL STUDIES AND CONSULTING ORGANISATION.
Lilikuwa shirika la Consulting miradi ya maendeleo chini ya wizara ya viwanda, lilikuwepo miaka ya mwisho ya 70 na hatimaye kufa miaka ya 90.
Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao.Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#View attachment 3300762
HahahaDuh! Amekuwa na mchango mkubwa akiwa mdogo tu anaondoka.
Mimi wa umri karibia na yeye ni hodari wa kuchambua nanii tu.
Wanawake wan uwezo huo kabisa bil ya rushwa ya ngono , kiasilia wanawake wako mbali sa a kiuwezo wa kawaida dhidi ya wanaume.Mtoto wa 1987 kufika 2019 ana PhD? Wenye wivu watadai digrii za chupi
Nafikiri amefariki siku moja kabla ya kukamatwa Lissu.Mshituko baada ya kusikia lisu kakamatwa
R.IP
Hii tu basi? Kwa kuwa huu ni msiba tuache. Tuandae mjadala siku nyingine.
Wasomj wetu wa PhD study zao ni zile zile.
Prevalence of....
Factors associated....
Knowledge, attitude.....
Determinants of......
Hivi vyote vimeandikwa kwenyw Text books.
Bagamoyo tutaanzisha uzi mwingine tujadiliane hili jambo.
Theories kibao. Blah blah
PhD ni degree ya tafiti. Zaidi unaweza sema ni degree ya wito.Aisee yaani Elimu yetu tubadilike fikra aisee
Endelea tu kuchambua maana ndicho ulichozawadiwa bichwa nazi haliwezi kuwa nazi!Duh! Amekuwa na mchango mkubwa akiwa mdogo tu anaondoka.
Mimi wa umri karibia na yeye ni hodari wa kuchambua nanii tu.
Duh 🙄 !Mtoto wa 1987 kufika 2019 ana PhD? Wenye wivu watadai digrii za chupi