Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,536
- 30,752
Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????
Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railwaybilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.
Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Au ulimi "uliteleza".wewe hiyo 1905 ulikiwepo, si umesoma tu vitabu na kusimuliwa ?
Huenda na yeye alisoma kitabu kimeandikwa hivyo.
1893 Tanga..Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????
Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railwaybilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.
Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
uko ukweli na usahihi unaokubalika katika Historia.Nyie mmekuaje? kwamba sasa mnao hata uwezo wa kutaka historia iseme mnavyotaja nyie!wewe hiyo 1905 ulikiwepo, si umesoma tu vitabu na kusimuliwa ?
Huenda na yeye alisoma kitabu kimeandikwa hivyo.
Ukiongelea kwa makadirio 1899 ni karibia/sawa na kusema 1900 sio 1800.1893 Tanga..
1899 East African Railway Cooperation ilianzishwa ili kujenga reli ya kati.
Kwa hiyo kama unazungumzia construction sawa. Ila kama upembuzi na mambo mengine yeye anaweza kuwa sawa.
Wewe ni mhandisi, sasa utajua stages za ujenzi zinahusisha vitu gani.
chakato ya ujenzi ilianza 1800 DR yupo sahihiNimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????
Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.
Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
1999 ni miaka ya 90s.Ukiongelea kwa makadirio 1899 ni karibia/sawa na kusema 1900 sio 1800.
Ficha ujinga wako,uko ukweli na usahihi unaokubalika katika Historia.Nyie mmekuaje? kwamba sasa mnao hata uwezo wa kutaka historia iseme mnavyotaja nyie!
Mkuu huwa siheshimu sana mtu asiye makini katika facts.1893 Tanga..
1899 East African Railway Cooperation ilianzishwa ili kujenga reli ya kati.
Kwa hiyo kama unazungumzia construction sawa. Ila kama upembuzi na mambo mengine yeye anaweza kuwa sawa.
Wewe ni mhandisi, sasa utajua stages za ujenzi zinahusisha vitu gani.
Mh!! AmechemkaNimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????
Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.
Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Hahaaahaawewe hiyo 1905 ulikiwepo, si umesoma tu vitabu na kusimuliwa ?
Huenda na yeye alisoma kitabu kimeandikwa hivyo.
History is based on solid facts, si heresay.wewe hiyo 1905 ulikiwepo, si umesoma tu vitabu na kusimuliwa ?
Huenda na yeye alisoma kitabu kimeandikwa hivyo.
najua mkuu, sema huyo mtu alijikuta kapanic, nimeona sasa nimpinge zaidi.History is based on solid facts, si heresay.
Hapakua na ulazima wa kutuambia kwamba wewe ni muhandisi.Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????
Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.
Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Mkuu usomi wangu sikupigiwa kura.Hapakua na ulazima wa kutuambia kwamba wewe ni muhandisi.
Tatizo la humu jf, kila mtu ni msomi na ana degree kama Mwajuma nichokonoe
" HEARSAY"History is based on solid facts, si heresay.
Sawa msomi, naona tayari umepanic hadi unakosea kuandika kwakutetemeka....tehteehhMkuu usomi wangu sipigiwa kura.
Nimeuhenyea na najua kuwa najua, iwe historia, hesabu, fizikia , I know that I know.
Kwa hiyo mtu akija na facts zisizo sawa, kumbamiza arudi shule, hapa ni mala pake.
Hata mimi nikosea facts, sweka ndani kuleee!