Kila la kheir Dkt Dau, wanakuponda kwa kuwa wanakukubali sana kiutendaji hata Dkt Pombe Magufuli siku ya uzinduzi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni alimhoji Kikwete Hadharani iweje mpaka leo Dau hajapewa Tuzo ya Utendaji uliotukuka japo ndio Pension Fund Bora Zaid Tanzania na imefanya mengi makubwa!